Mbowe hatabaki salama, credibility yake kama kiongozi imeshuka mno, ameonesha upeo mdogo wa uongozi kwa kuiingiza cdm katika mgogoro usio wa lazima, Hana maadili, hamheshimu mkewe, Kumbe anachukua hela kutoka CCM.
Zitto ana future, ni mtaji wa kisiasa kwa chama chochote atakachoamua kujiunga nacho, isitoshe dynamics za vyama vya siasa na hali yaq kisiasa itabadirika sana ikija katiba mpya.
Kwa hiyo wa kulaumiwa ni Mbowe, kwa kuharibu kazi ya mikono yake mwenyewe!. MBOWE HAWEZI KUQUALIFY KUCHUKUA UONGOZI WA JUU WA NCHI HII, AT THE END OF THE DAY ATABAKI CHINI YA MTU, LABDA ANG'ANG'ANIE UENYEKITI TU!
Aliyeiingiza CDM katika mgogoro usio na na lazima ni ZZK akishirikiana na CCM wakidhani wataiua CDM. Adui wa CCM ni wao wenyewe baada ya kushindwa kuleta maisha bora kwa watanzania na badala yake kupora mali ya WaTz. ZZK kwishney hata angeleta hoja gani ataonekana kuwa ni mwongo wa kawaida tu kwani alipaswa kuyasema hayo kabla hajafanya huo usaliti.
Katika siasa watu wanalenga watu watakaowavusha kutoka hali mbaya kwenda sehemu nzuri zaidi kimaisha, maisha ya watu na nyumba zao siyo kitu kinachoangaliwa. Clinton alifanya oral sex ndani ya Ikulu wamarekani hawakuangalia hayo waliangalia mafanikio ya uongozi wake.
Mzee Zuma naye utasemaje? ZZK aende zake akajiunge na waliomtuma hana tofauti na Amaan Kabourou. CDM itashinda kwa sababu kubwa moja ya msingi ambayo aliisema JK kuwa kuna uwezekano wa CCM kushindwa kutokana na kukumbatia rushwa. Sioni jinsi CCM itatoka katika mtego huu kwani wote wanaotaka Urais wanategemea fedha ya rushwa. Huwezi kuing'oa rushwa wakati umeingia madarakani kwa rushwa.
Dhambi ni mtaji na unakua hivyo mtaji huo wa dhambi ndiyo utakaowahukumu