Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

Utafikiri tulikuwa Egypt [emoji848][emoji848]
 
tunapoelekea bila serikali kukemea hii hali tutakuja kumuona hata Bashite nae akisema alinusurika kuawa,Watu wanatafuta ukaribu na uongozi wa awamu yahii kwa aina yake.
Hao wote ni sehemu ya wahuni wanatumia kila njia kuhafifisha wengine ili wao wapate mkate.
 
Hiyo tume ianze kazi Pemba wakati wa awamu ya 3 mpaka awamu hii ya sasa ili tupate idadi ya matukio yote nchi nzima.

Zito ana Hasira ya kukosa ubunge so tuanze 1995 kuja mpaka 2020.

Wahusika wafikishwe kwenye mkono wa sheria.
We fala kweli!
 
Uchadema umekujaa mwili mzima..huu uchochezi mnaouunga mkono ipo siku mtaujutia..maana mpo kama abunuwasi.......tawi tuliokalia sote...mnataka kulikata ili msalimike....
Upumbavu tu..
Kwahiyo kama kipindi chake alikuwa anafanya upumbavu asisemwe?yule jamaa heri amekufa ,tena kifo cha aibu
 
Sidhani kama angeongea uongo mbele ya umma , Tena mtumishi wa MUNGU,
 
Magufuli alikuwa rais muovu, na wanaojaribu kuficha uovu wake ni hawa waliofaidika na uovu ule. Hawa ni wachache wanathubutu kusema ukweli sasa hadharani, lakini uovu ule uko wazi kwa watu wengi. Iko siku kila kitu kitakaa hadharani.
Kuna mambo aliyafanya yule mwehu ni ya kutisha! Watu wanaomtetea nadhani kuna waya hazipo sawa kwenye ubongo wao
 
Ushahidi upo wa wazi, ila pa kuweka huo ushahidi ndio hakuna.
Wewe binafsi ulifanyiwa unyama gani? Hebu tueleze. Labda ni chuki zako tu dhidi ya hayati JPM.
 
Haya yote uliyotaja yanauthibitisho kuwa awamu ya tano ilishiriki?
Tundu Lissu alipigwa risasi awamu ya kwanza ati?
Mwingira kaituhumu awamu ya nne?
Mamia ya watu wametekwa na kupotezwa awamu ya pili?
"Watimueni bungeni wakitoka nitawashughulikia maana nje hawana kinga" matokea yake mtu anamiminiwa risasi 32+ bado unataka uthibitisho gani bwashe? Hujui kuwa yametokea awamu ya tano?
 

Unafahamu bank ya maendeleo inamilikiwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…