jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kuna watu walijiona ma superstar nchii hawa gusiki Sisi wananchi %99 hatuna ubaya na MagufuriHuyu mbona ana chuki sana na marehemu manina zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu walijiona ma superstar nchii hawa gusiki Sisi wananchi %99 hatuna ubaya na MagufuriHuyu mbona ana chuki sana na marehemu manina zake
Utafikiri tulikuwa Egypt [emoji848][emoji848]Tukiweka "umataga" pembeni na tukatumia akili zetu na macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
Huyu jamaa mchumia tumbo!
Hao wote ni sehemu ya wahuni wanatumia kila njia kuhafifisha wengine ili wao wapate mkate.tunapoelekea bila serikali kukemea hii hali tutakuja kumuona hata Bashite nae akisema alinusurika kuawa,Watu wanatafuta ukaribu na uongozi wa awamu yahii kwa aina yake.
We fala kweli!Hiyo tume ianze kazi Pemba wakati wa awamu ya 3 mpaka awamu hii ya sasa ili tupate idadi ya matukio yote nchi nzima.
Zito ana Hasira ya kukosa ubunge so tuanze 1995 kuja mpaka 2020.
Wahusika wafikishwe kwenye mkono wa sheria.
Magu alijichafua mwenyewe Kwa roho mbaya yake.Huyu jamaa mchumia tumbo!
nadhani kapewa kazi kuchafua legacy ya Magu
Kwahiyo kama kipindi chake alikuwa anafanya upumbavu asisemwe?yule jamaa heri amekufa ,tena kifo cha aibuUchadema umekujaa mwili mzima..huu uchochezi mnaouunga mkono ipo siku mtaujutia..maana mpo kama abunuwasi.......tawi tuliokalia sote...mnataka kulikata ili msalimike....
Upumbavu tu..
Kambi ya kina zuberiMagu alijichafua mwenyewe Kwa roho mbaya yake.
Naunga mkono hoja ikiwezekana ashtakiwe na alioshirikiana nao kuteswa na kupora
Kuna mambo aliyafanya yule mwehu ni ya kutisha! Watu wanaomtetea nadhani kuna waya hazipo sawa kwenye ubongo waoMagufuli alikuwa rais muovu, na wanaojaribu kuficha uovu wake ni hawa waliofaidika na uovu ule. Hawa ni wachache wanathubutu kusema ukweli sasa hadharani, lakini uovu ule uko wazi kwa watu wengi. Iko siku kila kitu kitakaa hadharani.
Ni mwendakuzimu.Mwendazake aongezewe kuni za kutosha
Kwa sababu marehemu wenu alikuwa shetani.Huyu mbona ana chuki sana na marehemu manina zake
Tundu Lissu alipigwa risasi awamu ya kwanza ati?Haya yote uliyotaja yanauthibitisho kuwa awamu ya tano ilishiriki?
Unakaa na familia yako eti unaamini maneno ya zito?Kuongea ukweli ni uchochezi?
Enyi watu wa Lumumba nani aliyewaroga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tokea lini kanisa likawa na Bank.. Kwa utajiri wa bilioni 10 anao lalamika kutapeliwa na serikali alikuwa anaweza kusaidia yatima wangapi na wajane kwenye hii nchi lakini hakufanya hivyo??
Hizi chuki zinazoendelea kusambazwa Kwa nguvu dhidi ya marehemi zinafanya watu tuanze kuwaza mara mbili kama Kweli alituponyoka au alikwapuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata biblia inasema ukifanya Jambo lililokileta duniani hutokaa upendwe na wanadamu.. tazama hata Yesu na kuponya viziwi na vipofu kote kule bado kunawatu walisema asulubiwe tuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Bank ya kanisa itumike kutakatisha pesa kwelii.. alafu ujiite mchungaji eti si hatari hiyo..
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Umethibitisha wapi kuwa ni uongo kinachosemwa. Nyie Warundi nyie na maiti yenu yule, mnatukosea sana watanzania.Amethibitisha huu uongo wake?