Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kwanini aitoe Zitto badala ya waziri wa afya mh Hamad Rashid?!!
Kwanini aitoe Zitto badala ya waziri wa afya mh Hamad Rashid?!!
Sawa, vipi na namba zimekosewa pia?rekebisheni hiyo ripoti yenu ina makosa mengi kiuandishi, mngetumia kiswahili tu mngeweza kuja na hekaya ya kuchekesha zaidi.
Kwani yeye ndiye aliyemchagua mpaka amtumbue?Mzee Kinjekitile kule Chato huenda anajipanga kumtumbua Ustaadh Shein wa Unguja!!!
Anamvua uanachama wa Chama cha kijani🤣Kwani yeye ndiye aliyemchagua mpaka amtumbue?
Mkuu hicho kizungu cha decreases nimekiona nikashituka kidogo, nikajiuliza huyo ndiyo msemaji wa MOH ya SMZ au CDC Africa?'' the number of alert has decreases....'' vizungu vya bavicha hatari sana. Hapo kwenye ''Eight (8) new cases were reported today'' ingependeza mngeiweka hivi ''Eight new cases have been reported today''. Anyway sababu chanzo cha ripoti ni mtangazaji wa vifo endelea kusherehekea forgery.
Mkuu hicho kizungu cha decreases nimekiona nikashituka kidogo, nikajiuliza huyo ndiyo msemaji wa MOH ya SMZ au CDC Africa?
unaukumbuka uzi wangu ule wa kuzibwaKwanini aitoe Zitto badala ya waziri wa afya mh Hamad Rashid?!!
Ndio kamtuma Zitto?unaukumbuka uzi wangu ule wa kuzibwa
mdomo kwa waziri wa afya wa Zanzibar ?
Hahahaaaa...... Hahahaaaa....... Zitto na Kigogo2014 mnafanana!
kila tunachoandika kina msukumo fulaniNdio kamtuma Zitto?