Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

Kitaeleweka tu..kila familia ikianza kulia kwa kuwapoteza wapendwa wao..hapo ndo macho yatatufunguka
 
Lakini si hio ni taarifa ya karibuni, wewe ulizani zimeganda? case zinaendelea kupanda as long as hakuna hatua thabiti za kujikinga.
 
Zito amekuwa kama ule wimbo wa bwana msosi
 
Tangu ile hotuba ya JPM hata taarifa mpya za huu ugonjwa hazitolewi tena.
 
'' the number of alert has decreases....'' vizungu vya bavicha hatari sana. Hapo kwenye ''Eight (8) new cases were reported today'' ingependeza mngeiweka hivi ''Eight new cases have been reported today''. Anyway sababu chanzo cha ripoti ni mtangazaji wa vifo endelea kusherehekea forgery.
Mkuu hicho kizungu cha decreases nimekiona nikashituka kidogo, nikajiuliza huyo ndiyo msemaji wa MOH ya SMZ au CDC Africa?
 
Mficha uchi maradhi humuumbua ,nyie zikeni tu usiku huko ununio
IMG_20200429_175211.jpg
 
Back
Top Bottom