Kwahiyo kutorudi kwao bungeni ndiyo kutaufanya uchumi wa taifa kukua kwa7%?Lissu na Zitto hawatarudi Bungeni
Mbowe atarudishwa Bungeni kwa sababu za Kimkakati
wewe unafanya kazi gani?
Kwahiyo kutorudi kwao bungeni ndiyo kutaufanya uchumi wa taifa kukua kwa7%?
Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Ukimalizia na "VU" mwishoni hakika itapendeza.PUMBA!!
Malizia chuki zako za kishetani kisha baada ya hapo ujiandae kuliaNi dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha akili zingine bana duAtakuwa ana kula pensheni na dadaako somewhere,beach!!
Watu wasahaulifu sana. Kwanza huo uongo waluoutambua ni humu mitaNdaoni tu. Huko wengi hawana smartphone. 2020 kisiasa ni mbali sana. Hata kama wameona kitu leo watasahau very soon.