Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hahahahah, akalime Michikichi si tayari ana mtaji
Ahaaa ahaaa acha nicheke kwa kusikitika. Inaonekana ubunge ni bonge la kazi na mtu akiikosa basi atakufa. Nimecheka sana juzi nasikia rais anasema Harmonize anatokea jimbo gani eti akawe mbunge! yaani mtu aache shughuli na kuendeleza fani/kipaji chake akawe mbunge? Wabunge hawafiki 400, hao watu wengine wanaishije? Wale waliowahi kuwa wabunge mbona hatujasikia misiba yao kwakuwa nje ya ubunge?
Cc: Muda wote