Huyo jamaa anaroho mbaya haijawahi kutokea sijui km ni Mtanzania nimeludharau sana
Zitto ananisaidia nini mimi?
Huyo ni muongo mkuu miradi mingi wanapambania ACT/zitto kuna mtaro au korongo lilikuwa linabomoa nyumba za watu wakati wa masika wamepambana limejengwa na wachina leo wananchi wanashukuru juhudi za zitto/act kigoma mjini.Wewe ni wa Ujiji? Nimekaa Kigoma zaidi ya wiki tatu sasa na unayosema hata wewe unajua ni uongo.
Kijana acha tabia za kimasikini zisikuelemee hivyo!Ujiji Zitto hawataki hata kumuona, muulize wazee hawataki kabisa kusikia hata sauti yake, baada ya kupinga wasijengewe barabara yeye kama mbunge walikasirika na ilibidi walazimishe mpaka barabara ikajengwa, so hawampendi kabisa.
Ni dhahiri Wana ujiji wamekasirika...(ningetamani isomeke hivi)Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
umeneñaWatu wasahaulifu sana. Kwanza huo uongo waluoutambua ni humu mitaNdaoni tu. Huko wengi hawana smartphone. 2020 kisiasa ni mbali sana. Hata kama wameona kitu leo watasahau very soon.
Kama za DJ sio
TutawakumbushaWatu wasahaulifu sana. Kwanza huo uongo waluoutambua ni humu mitaNdaoni tu. Huko wengi hawana smartphone. 2020 kisiasa ni mbali sana. Hata kama wameona kitu leo watasahau very soon.
Hilo lifisadi litakuwa linakula pesa alizopra nssf
Unasubiri nn kumfikisha panapohusika?
Naona umeelewa vizuri sana mkuuHahahahaha
Kila binadamu ana wanaomchukia na wanaompenda, wapo wana-Ujiji wanaomchukia Zitto na wapo wengi sana wanaompenda. Pia ufahamu Zitto si mbunge tu wa Kigoma, ni mbunge wa Tanzania, ni kiongozi wa Tanzania, ni kiongozi wa chama cha ACT wazalendo, ni mchumi kitaaluma.Ana shughuli nyingi tu anazozifanya -ubunge ni uwakilishi wa wananchi katika chombo cha kutunga sheria SIYO KAZI!!!!!!!! Labda nikuulize wanaoacha ubunge huwa wanafanya kazi gani maana wako wengi? Unapoandika mada kumbuka kutumia akili angalau hata kidogoNi dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Kasoma uchumi udsm,kwahyo kufundisha hawezi na GPA nizuri ...Chuo cha ualimu alisomea wapi?
Chuo cha ualimu alisomea wapi?
Hakuna zaidi ya kuwa mkabajiNi dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?