Zitto akiukosa ubunge 2020 atafanya kazi gani?

Zitto akiukosa ubunge 2020 atafanya kazi gani?

Laiti kama ungekua unajua michezo ya kisiasa basi usingeuliza swali hili.
Siasa ina mambo mengi nyuma ya pazia!,na kwa Zitto Kabwe kukosa ubunge bado sana. Sababu yeye ndiye kiungo muhimu kwenye mission fulani nyeti!

Hivi hujiulizi kwanini Zitto amepewa uwanja mpana wa kumkosoa Rais na serikali yake?,yaan hata kuzongwa na kubughuziwa na vyombo vya dola kunafanywa kiushkaji tu ili kuwapumbaza watu kwamba wapinzani wote wanazingwa.

Iko siku utapata bahati ya kuona mipango inavyosukwa nyuma ya pazia!.
 
Hata nawaza tu! Hivi JF wakiaamua Leo kutumia lugha ya kiingereza je hii post ungeiandika kweli? Vivyo hivyo na sisi tunavyojiuliza posts nyingiiiiiii na comments ndefuuuuuuu kweli zitakuwepo?
 
Wewe ambaye siyo Mbunge unafanya kazi gani?
Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.

Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
 
Atarudi CCM atagombea tena ubunge awamu ijayo ataupata
 
Acheni propaganda za kijinga,yaani wananchi wanavyompenda atashindwaje kurudi Bungeni? mnadanganyana kwamba flani atarudi na flani hatarudi ninyi ni nani hata muwapangie wananchi Kiongozi? Au malengo yenu ni kuchochea machafuko baada ya wananchi kuamua kudai haki yao kwa nguvu?
Binafsi naamini yeyote atakaepata kura za kutosha atarudi Bungeni,hizo nyingine ni porojo tu zakujifurahisha.
 
Ukisoma uchumi na GPA yako ikawa bora/zuri huwezi fundisha vyuo(na ukiaza kufundisha utaitwaje(hata leo hii zito nimwalimu mana amekuwa akitoa public lecture na tunamuelewa..kwa akili yako unadhani mwalimu ni nan?

Nadhani mwl.ni mwl Nyerere.

Ulivyo boya nani alikwambia zito alitoka na GPA kubwa UD?
 
ZZK atapata kazi katika vitengo hivi ;
Kitengo cha uzushi na Roho mbaya
Idara ya fitina , unafiki na majungu.
Baba wataifa alikua anasimamia chama kuandaa viongozi ,ww unaandaliwa na ccm B(nyerere siku arudi aje akutane kweli na ainayako kweli!!!!uliondoka nakilakitu huku uliacha mapengo tupu
 
Back
Top Bottom