Hahahahah, akalime Michikichi si tayari ana mtaji
Chuo cha ualimu alisomea wapi?Nimwalimu atarudi kufundisha..siasa kwake bahati mbaya
Wewe ndio msemaji wa Tanzania wanao mchukia Mh. Zitto? Hizo takwimu umezipata wapi kwamba waTZ wemgi wanamchukia Zitto? Wengine wengi waliokosa ubunge wanafanya kazi gani? Kwani hujui Mh. Zitto Kabwe ni Msomi? Anaweza jiajiri hata kuajiriwa ni uamuzi wake mwenyewe.Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Ndiyo
Siyo yule anaye waita wenzake vilazakwa sasa Chadema namuelewa mh Mbowe,msigwa na Mnyika ...hawa huwezi wakuta wanaropoka hovyo au wanatukana
Hahahahah, akalime Michikichi si tayari ana mtaji
Labda ataajiriwa na mabeberu anaowatumikia!!Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Wewe ni wa Ujiji? Nimekaa Kigoma zaidi ya wiki tatu sasa na unayosema hata wewe unajua ni uongo.Ujiji Zitto hawataki hata kumuona, muulize wazee hawataki kabisa kusikia hata sauti yake, baada ya kupinga wasijengewe barabara yeye kama mbunge walikasirika na ilibidi walazimishe mpaka barabara ikajengwa, so hawampendi kabisa.
wewe utanufaika nini akiukosa???Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Kwa jinsi alivyoufanya mitandao ya kijamii kama jukwaa na uwanja wake wa kuibeza Serikali na kuwananga viongozi wake, hakika anatumbikia kwenye kaburi la kuzika umaarufu wake kijamii, kisiasa na mwishowe kuanguka kiuchumi.Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?
Barabara gani alipinga zisijengwe? wewe ni muongo act/zitto ilani yao ni kurudisha hadhi ya mji wa ujiji kwa kufufua bandari ya ujiji,kufufua soko kubwa la ujiji kwa kujenga maduka ya kisasa kwa ajili ya kuwauzia bidhaa watu wa congo,burundi n.k.Ujiji Zitto hawataki hata kumuona, muulize wazee hawataki kabisa kusikia hata sauti yake, baada ya kupinga wasijengewe barabara yeye kama mbunge walikasirika na ilibidi walazimishe mpaka barabara ikajengwa, so hawampendi kabisa.
yani ukimuona Zitto unamuona ni mtu ambaye hawezi kufanya kazi nyingine tofauti na ubunge???Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia.
Je baada ya kukosa ubunge Mh. Zitto atafanya kazi gani?