Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.

Naamini una ushawishi mkubwa kwa "mateja" wenzio
 
HAMMY-D; wewe upo kambi ipi? tunatakiwa tujuane mapema; mimi bado sijachangua lakini inaonekana nitakuwa kwa Maalim Abdulah!! kipindi cha mavuno kinakaribia, tumalizie vibanda vyetu, hii nchi haina mwenyewe.
 
Umeisha shawish wangap mpaka sasa?? Umeshindwa kujishawish mwenyewe utaweza kushawish watu??
 
HAMMY-D; wewe upo kambi ipi? tunatakiwa tujuane mapema; mimi bado sijachangua lakini inaonekana nitakuwa kwa Maalim Abdulah!! kipindi cha mavuno kinakaribia, tumalizie vibanda vyetu, hii nchi haina mwenyewe.

Kwa sheikh lowasa
 
Naamini una ushawishi mkubwa kwa "mateja" wenzio

Leo "mateja" hawana maana kwenu?, mbona mnyika alikuwa akiwasomba kwenye malori ili wakampigie kura awe mbunge wa jimbo la Ubungo?
 
Good, nadhani CCM inaweza kuwa inahitaji ushauri zaidi kwa sasa. Sababu ikiwa ni kuwa ni chama kinachotuongoza kikiwa kimegubikwa na sintofahamu za kutosha. Kwa nini usianze kwa kuwashauri wabadili Mwenyekiti wa chama na upendekeze mwenye uwezo wa kutufikisha mahali fulani?

Mkuu, mimi ni mwananchi mpenda amani, haki na usawa.
 
kweli kabisa hili chadema wasiumbuke au wasijinyonge (wanachama wa cdm) mwaka 2015 wampe zitto nahami watashinda
 
Japo sijasoma ulichoandika, ila nahisi ww ni mke wake au umejaa na udini.
 
Mzungu wa Kinana kimemnukia, naona mmeikimbia ile thread kabisa, kweli magamba wanafiki
 
Mwenyekiti akiwa Mbowe ni kikundi cha watu wachache.... Mwenyekiti akiwa Zitto ni kikundi cha watu ''wengi'' kwa mujibu wa hoja yako...

Kweli BAVICHA waliona mbali sana kufukuza hii takataka katika jumuia yao maana uwezo wa kujenga hoja haupo. No wonder lichama lenu la maCCM limetuboa watanzania na tunajipanga kulizika 2015 maana limekaliwa na watu wa very low IQ wote. Na nyie mpeni Kinana uenyekiti basi maana ni mtu wa KAZI!
 
Mh. Mbowe akikusikia utaishia kuyapata aliyoyapata Chacha Wangwe alipotaka kugombea uenyekiti, Absolum Kibanda alipoondoka tanzania Daima baada ya kula milioni 200 za kuimarisha gazeti badala yake aliishia kuandika makala ndefu ya kumchafua mbowe na chadema na kujenga rafiki yake kipenzi ambaye kimsingi nami nampenda Mh. Lowasa. nk
 
Good, nadhani CCM inaweza kuwa inahitaji ushauri zaidi kwa sasa. Sababu ikiwa ni kuwa ni chama kinachotuongoza kikiwa kimegubikwa na sintofahamu za kutosha. Kwa nini usianze kwa kuwashauri wabadili Mwenyekiti wa chama na upendekeze mwenye uwezo wa kutufikisha mahali fulani?

Mkuu, natwanga kote kote, ndani ya CCM tutahakikisha anapatikana mwenyekiti hodari na mwenye uwezo, ila hiyo ainiwekei mipaka mimi kama mwananchi mpenda amani uwezo wa kutoa maoni kwenye vyama vingine hasa CHADEMA kwani wana tunu ambayo taifa zima ina ihitaji (Zitto).
 
Mwenyekiti akiwa Mbowe ni kikundi cha watu wachache.... Mwenyekiti akiwa Zitto ni kikundi cha watu ''wengi'' kwa mujibu wa hoja yako...

Kweli BAVICHA waliona mbali sana kufukuza hii takataka katika jumuia yao maana uwezo wa kujenga hoja haupo. No wonder lichama lenu la maCCM limetuboa watanzania na tunajipanga kulizika 2015 maana limekaliwa na watu wa very low IQ wote. Na nyie mpeni Kinana uenyekiti basi maana ni mtu wa KAZI!

Napata shaka na uwezo wako wa akili, hivi mtu akitofautiana na wewe kimtazamo basi amekuwa Mwampamba wa CCM?, teh teh teh, kijana huyu ana wanyima raha eeh?
 
kweli kabisa hili chadema wasiumbuke au wasijinyonge (wanachama wa cdm) mwaka 2015 wampe zitto nahami watashinda

Mkuu,

Wa kwanza mimi, naahidi kuipigania CHADEMA hata kama sio mwana CDM ili ishinde kwa kuwa nina imani na Zitto.
 
Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
Uko tayari kuisaliti CCM kwa sababu ya ZITTO?
Basi wewe ni msaliti sawa tu na wenzako walioanzisha CCJ.
Lakini, kama wana CCM mnampenda kiasi hicho Zitto, kwa nini msimwambie tu ahamie huko CCM?
 
Back
Top Bottom