Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.

Not researched!
 
Last edited by a moderator:
Napata shaka na uwezo wako wa akili, hivi mtu akitofautiana na wewe kimtazamo basi amekuwa Mwampamba wa CCM?, teh teh teh, kijana huyu ana wanyima raha eeh?

Kwani Mwampamba amekuwa MWANAMKE siku hizi, we dada Hamida viiipiiii,,,

Turudi kwenye hoja, kwa nini unaona Mwenyekiti akiwa Zitto ni kikundi cha watu wengi na akiwa Mbowe ni kikundi cha watu wachache??
 
Unakura ngapi hizo zote au we ninan wa chadema.. kila chama kinautaratibu na kanuni zake kama mda ukufika na ikaonekana anafaa yeyote akiwamo yeye atakua tu,.. usiahidi hapa bali elezea sifa za huyo mtu umtakae uwashawishi wanochagua wenyekiti ikifka mda.
 
HAMY-D hauko tofauti sana na walio wengi ambao huchagua/hupiga kura kwa kuangalia sura ya mtu na si sera zake na/ama za chama anachokiwakilisha!

Lakini labda kutuweka sawa hapa ni vema ukaeleza mwaka 2005 ulimpigia nani kura yako na kwa sababu gani, kisha mwaka 2010 ulimpa nani kura yako na kwa sababu gani! Hapo utakuwa umejipambanua juu ya aina ya mpiga kura wewe ulivyo na hili litatuonesha umuhimu hasa wa kura yako kuipeleka CHADEMA ikiwa uliyemsema ndiye atakuwa mwenyekiti..
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mwampamba amekuwa MWANAMKE siku hizi, we dada Hamida viiipiiii,,,

Turudi kwenye hoja, kwa nini unaona Mwenyekiti akiwa Zitto ni kikundi cha watu wengi na akiwa Mbowe ni kikundi cha watu wachache??

Nimesha tolea ufafanuzi hilo kwenye post yangu ya kwanza, nimesema Zitto ndio sababu ya CHADEMA kuwa hapa ilipo kwani alijitoa sana kwenye hicho chama, wewe soma post kuu utaelewa tu.
 
Hamy-D tangu nyinyi mtimuliwe naona chadema kumetulia sana, nimegundua kuwa wakati huu hata kujaribu kupiganisha vichwa kupata wanaomuunga mkono zitto na kundi la wanaomuunga mkono mwenyekiti Mbowe imekuwa vigumu, wote ni wamoja..pole mama
 
WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.

Mpelekee nyumbani kwake anakusubiri!
 
Mzee bado unaamini katika "Zidumu fikra bora za Mwenyekiti"?

Kama unafanya maamuzi kwa reasoning hii basi una tatizo kubwa.

By the way,CHADEMA ni mfumo,ni taasisi.Sauti ya umma ndiyo ya mwisho.

Sasa hivi ajenda ya wananchi ndiyo ajenda kuuu na muda huu tunapoongea viongozi wanaowajibika kwa wananchi wanakusanya maoni yao mikoani kuhusu maoni ya katiba.Tunajenga Chama kwanza.Uenyekiti hauji kwa silver plate

....astonishing Ignorance ! ! !
 
Nimesha tolea ufafanuzi hilo kwenye post yangu ya kwanza, nimesema Zitto ndio sababu ya CHADEMA kuwa hapa ilipo kwani alijitoa sana kwenye hicho chama, wewe soma post kuu utaelewa tu.

Kumbe ndio maana Kigoma CHADEMA ina_SHINE kwa akina Zitto kuliko hata Kilimanjaro kwa akina Mbowe. Kazi ya Zitto inaonekana, Charity begins at home...
 
sasa hivi ni wa ukweli na uazi,mm ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya, zitto na mtambua kwa karibu sana,huwezi kutofautisha tabia za zitto na akina musseven, gadaffi,kagame nk,ni mtu anayeamini kwamba yy peke ndiyo anafaa kuwa kiongozi, hayo ni mapungufu makubwa sana kwenye uongozi pamoja na mapungufu mengi sana. mm binafsi kama ikatokea zitto akawa mwekiti wa chama cdm taifa utakua ndo mwisho wangu kwenye siasa.
 
Mzee bado unaamini katika "Zidumu fikra bora za Mwenyekiti"?

Kama unafanya maamuzi kwa reasoning hii basi una tatizo kubwa.

By the way,CHADEMA ni mfumo,ni taasisi.Sauti ya umma ndiyo ya mwisho.

Sasa hivi ajenda ya wananchi ndiyo ajenda kuuu na muda huu tunapoongea viongozi wanaowajibika kwa wananchi wanakusanya maoni yao mikoani kuhusu maoni ya katiba.Tunajenga Chama kwanza.Uenyekiti hauji kwa silver plate

....astonishing Ignorance ! ! !
Mkuu Ben mbona akitajwa Zitto unakuwa mkali hivyo "WHAT'S WRONG MY BRO"
 
HAMY-D anachokoza tu anajua kitu kama hicho hakiwezekani ndani ya chama cha wana wa Kaskazini. Ni heri NASSARY akapata hiki cheo kuliko huyu kijana mwenye uwezomkubwa wa kukwepa kuwekewa sumu. Wakimshindwa watamuondoaje?

tabu zote mnazipatiani?! kwani mkimuita zito aje ccm halafu mkamchagua kwa bashasha zote kwani haitafaa? mkimuhakikishia kura atakuja tu, na atasaidia sana kuleta mabadiliko ccm kwa sababu ya uwezo wake mkubwa ati? akili zenu mbona ni fupi sana jamani, kuliko za wana wetu wa msingi, mlitulia baada ya kuchoka na swala la zito naona mnakusanya nguvu kurudi tena, mbona mna tabia kama za shetani?! shetani ndiye hashindi na hachoki, hatudanganyiki ng'o!
 
WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.

Binafsi, unanifanya nipate kigugumizi sana bwana Hamy-D (samahani kama utakua mwanamke) na misimamo yako, kiukweli wewe ni bingwa wa kupindisha mambo, hapo kwenye Bold, kama kweli unaamini katika ubora wa kiongozi, ninahakika usingekua mshabiki mkubwa wa ccm hata kidogo, humu jamvini, unajulikana jinsi gani ulivyo shabiki wa u-dini though hapa umejaribu kukwepesha hilo, niliwahi kumwambia mtu fulani kwenye mazungumzo yetu, wapenzi na mashabiki wa Kikwete wenye mlengo wa kidini, siku ccm ikisimamisha Mkristo kwa ngazi ya urais wote hao watahamia chama kingine kitakacho simamisha Mwislam mwenzao, mawazo ya jinsi hii naweza kuyaita ni ya kipinda kweli kweli cause, kiongozi wa dini 1 na mimi hana msaada wowote kunifanya nije niione pepo, cause kama zaka nitaendelea kutoa kama kawaida, Ramadhani na mengine yote ya kidini nitawajibika kuyafanya bila kujali kiongozi alioko madarakani ni wa dini yangu au laa, niseme tu, kwa madhaifu yanayofanya na ccm sasa hivi na utetezi unaoutoaga hapa and then kumtetea Zitto umeniacha njia panda kabisa hata kama Zitto anaweza kua na sifa hizo ulizo mmwagia na niseme tu hivi, haya ndio wakati mwingine mnamfanya Zitto aogopwe na watu wengine wasio wa dini yenu, watu watajiuliza, Kuna nini? hasa Zitto anapokua akisifiwa sana na wana ccm kama wewe. Tuwe wakweli, ndani ya ccm, ni nani katika CHADEMA wanaye mwogopa? Definately huwezi kusema Zitto hata kidogo, wapo viongozi ndani ya CHADEMA ambao wameisha bambikiwa makosa hadi ya ugaidi, wapo viongozi wenye kesi za kutungwa tena hadi na usalama wa taifa na polisi, wapo viongozi ndani ya CDM ambao midomoni mwa ccm na serikali yake wamewekewa watu wa ku-monitor movements zao zote, wengine wanatafutiwa hadi wanawake ili wanaswe, wote hao, jina la Zitto hutalipata, sana sana Zitto hua anajikuta anatumiwa tu

Kwenye Italic, ni kweli kwamba Zitto kaonesha mianya ya rushwa na ufisadi mingi, lakini hebu tulinganishe kati yake na Dr. Slaa (ambaye huyu nadhani kwako unasikia hadi kichefu chefu jina lake likitamkwa), weka mizani sawasawa mkuu.
 
CHADEMA wanajizika wenyewe kwa kutoruhusu demokrasia kukua ndani ya chama. Haiingii akilini kwa chama kinachojinasibu ni cha KIDEMOKRASIA, mgombea urais anapatikana kwa mwenyekiti kutamka tu kuwa fulani ndiye mgombea urais
 
Kweli wewe ni waruwaru wa kupindukia. Najua fika kuwa umetumwa na unataka kuivuruga CDM na unafikiri kwa mawazo yako unaweza kuivuruga CHADEMA. Mmejaribu mbinu mbalimbali za Udini, ukabila, ukanda etc zimeshindikana na sasa mmeachana na Agenda iliyopo ya Kumpiga risasi shekhe Ponda mnakuja na chokochoko kwenye uongozi wa CHADEMA na haya yote ni yaleyale ya kutaka kuivuruga CDM.

kweli CCM imejaa uozo.
 
Mzee bado unaamini katika "Zidumu fikra bora za Mwenyekiti"?

Kama unafanya maamuzi kwa reasoning hii basi una tatizo kubwa.

By the way,CHADEMA ni mfumo,ni taasisi.Sauti ya umma ndiyo ya mwisho.

Sasa hivi ajenda ya wananchi ndiyo ajenda kuuu na muda huu tunapoongea viongozi wanaowajibika kwa wananchi wanakusanya maoni yao mikoani kuhusu maoni ya katiba.Tunajenga Chama kwanza.Uenyekiti hauji kwa silver plate

....astonishing Ignorance ! ! !

Hapo penye red pana mushkeli bwana ben. si kweli kuwa wananchi au wanachama ndani ya chadema ndo wenye maamuzi. mbona 2010 Ni FREEMAN MBOWE pekee ndiye aliyetamka kuwa Dr Slaa atakuwa mgombea urais na ikawa hivyo tena bila hata ya kushauriana na mhusika. kama hiyo haitoshi, tarehe 30 Desemba 2012, Mbowe katamka akiwa Karatu kuwa ni Dr Slaa pekee ndiye atakayegombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. hapo sauti ya watu ipo wapi?
 
Kila nikiangalia kibichwa chako nalinganisha na akili yako ya mtindio wa akili

Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
 
Back
Top Bottom