REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Hivi nyie mlishindwa kufanikisha malengo ya kumpromote huyo mtu wenu mkiwa ndani,mnajidanganyaAcheni basi kumnyanyapa Zitto kwa dini yake na ukanda aliotoka, maana nimepewa taarifa kuwa hata kwenye M4C ashirikishwi kabisa. Juzi Mbowe na Lema walikuwa Hai, Leo Mbowe yuko na Mnyika, Dr Slaa nae ndio hamtaki Zitto. Sasa kwanini Zitto hatakiwi na viongozi wa CHADEMA ilhali ana uwezo mkubwa kulinganisha mtu yeyote CHADEMA?
mtaweza mkiwa nje?!!!!!!!!