Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

Kweli wewe ni waruwaru wa kupindukia. Najua fika kuwa umetumwa na unataka kuivuruga CDM na unafikiri kwa mawazo yako unaweza kuivuruga CHADEMA. Mmejaribu mbinu mbalimbali za Udini, ukabila, ukanda etc zimeshindikana na sasa mmeachana na Agenda iliyopo ya Kumpiga risasi shekhe Ponda mnakuja na chokochoko kwenye uongozi wa CHADEMA na haya yote ni yaleyale ya kutaka kuivuruga CDM.

kweli CCM imejaa uozo.

Mkuu, kama wewe kweli una akili na unaipenda CHADEMA, hivi huoni mantiki ya ZITTO KABWE kugombea urais badala ya watu ambao wamechoka kimwili na kisiasa?
 
Mzee bado unaamini katika "Zidumu fikra bora za Mwenyekiti"?

Kama unafanya maamuzi kwa reasoning hii basi una tatizo kubwa.

By the way,CHADEMA ni mfumo,ni taasisi.Sauti ya umma ndiyo ya mwisho.

Sasa hivi ajenda ya wananchi ndiyo ajenda kuuu na muda huu tunapoongea viongozi wanaowajibika kwa wananchi wanakusanya maoni yao mikoani kuhusu maoni ya katiba.Tunajenga Chama kwanza.Uenyekiti hauji kwa silver plate

....astonishing Ignorance ! ! !

Mbona Zitto hamumshirikishi?, maana jimboni Hai hamkumpa fursa na sasa Tarime hivyo hivyo.
 
Hapo penye red pana mushkeli bwana ben. si kweli kuwa wananchi au wanachama ndani ya chadema ndo wenye maamuzi. mbona 2010 Ni FREEMAN MBOWE pekee ndiye aliyetamka kuwa Dr Slaa atakuwa mgombea urais na ikawa hivyo tena bila hata ya kushauriana na mhusika. kama hiyo haitoshi, tarehe 30 Desemba 2012, Mbowe katamka akiwa Karatu kuwa ni Dr Slaa pekee ndiye atakayegombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. hapo sauti ya watu ipo wapi?

Au Ben akisema sauti ya watu uwa ana maanisha sauti ya Mbowe?
 
hamy-d anachokoza tu anajua kitu kama hicho hakiwezekani ndani ya chama cha wana wa kaskazini. Ni heri nassary akapata hiki cheo kuliko huyu kijana mwenye uwezomkubwa wa kukwepa kuwekewa sumu. Wakimshindwa watamuondoaje?

kiazi.
 
Kila nikiangalia kibichwa chako nalinganisha na akili yako ya mtindio wa akili

hahahaaaa, we kama unamwona HAMY-D ana utindio wa ubongo. wakubwa zako akina slaa wanamhara sana na sasa wanahangaika kumfahamu. kuna bajeti kubwa imetengwa ili apatikane kwa malengo yasiyojulikana
 
HAMY-D anachokoza tu anajua kitu kama hicho hakiwezekani ndani ya chama cha wana wa Kaskazini. Ni heri NASSARY akapata hiki cheo kuliko huyu kijana mwenye uwezomkubwa wa kukwepa kuwekewa sumu. Wakimshindwa watamuondoaje?

Kiazi.
 
saidia kurekebisha matatizo ya uongozi uliopo kama yapo na kweli wewe huna hoja mficho!
 
WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.

Pro-ccm hamsukumwi na uzalendo wala itikadi ya chama ila DINI. Slaa anapingwakwa ukatoliki wake. Zito, anafagiliwa kwa uislamu wake wala si uwezo. Na harakati alizoendesha za kupindua uongozi wa CDM ilikuwa kutimiza malengo haya. Ni UDINI tu!... Pro CCM mnamwona Zitto tu ndani yas CHADEMA. Hata CCM mtaikimbia tu atakapogombea mkristo kama Lowasa.
 
Angekuwa na hoja wangemhara lakini mimi naongelea hoja zake zisizo na akili, yaani kama mtu mwenye mtidio anaandika vile.

hahahaaaa, we kama unamwona HAMY-D ana utindio wa ubongo. wakubwa zako akina slaa wanamhara sana na sasa wanahangaika kumfahamu. kuna bajeti kubwa imetengwa ili apatikane kwa malengo yasiyojulikana
 
Hata Mimi Kura yangu itanda Cdm ikiwa Zito atakuwa mwenyekiti ni kijana jasiri Tupo Wengi tunaemsapoti Zito mungu ampe Umri mrefu na afya njema
 
HAMY D WA MIPASHO,, HAUWEZI KUIVURUGA CDM KWA STAIL HII,,, WANAJAMVI KAMA MMEMWELEWA UYU KILAZA , HANA JEMA NA CDM HATA KIDOGO,,WE NI GAMBA TU HAMy
 
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Ponda anaendeleaje?
 
Ndg,unasikitisha sana yaan umezoea kuchagua chama na sasa unatushawish utachagua chama!je uu ndio uzalendo?
 
Mbona Zitto hamumshirikishi?, maana jimboni Hai hamkumpa fursa na sasa Tarime hivyo hivyo.

Wewe ni msemaji wake?Viongozi wanashirikishwa na nani?

Sijui unamaanisha nini au mkuu unamaanisha kwamba Chadema kinafanya mwaliko wa kushirikishana kupitia kadi kama za harusi au sendoff.? This is crazy ! ! !
 
hahahaaaa, we kama unamwona HAMY-D ana utindio wa ubongo. wakubwa zako akina slaa wanamhara sana na sasa wanahangaika kumfahamu. kuna bajeti kubwa imetengwa ili apatikane kwa malengo yasiyojulikana

Kweli wewe hamnazo,hakutafutwa TUNTEMEKE mpaka pale walipojianika wenyewe,itakuwa hawa maajenti wa
Mwigulu,ambao tayari wameshakosa thamani hata huko ccm!!!!!!!!!!
 
Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
Huna kinachokusukuma kwa Zitto zaidi udini wewe,nani asiekujua wewe mdini,juzi Zitto bila kujua akiwashutumu askari kumua Shekhe Ponda at the same Ben Sir8 akaonyeshwa kusikitishwa na hatua za polis kumpiga risasi Ponda na hakusema wamemuua,chakushangaza ulimwacha Zitto ukampa makavu Sir8 tena kwa kumwambia "stay away frm muslim is non of u'r business",..wewe ni mdini tena taka kabisa.,hatutaki watu wadini kama wewe hata kura yako hatuitaki..,kafie mbele.
 
Wewe ni msemaji wake?Viongozi wanashirikishwa na nani?

Sijui unamaanisha nini au mkuu unamaanisha kwamba Chadema kinafanya mwaliko wa kushirikishana kupitia kadi kama za harusi au sendoff.? This is crazy ! ! !

Usijitoe uelewa wewe Ben, hivi hujui ni kwa namna gani viongozi uwa wanafanya kazi kama team?, kwa ufupi ni kwamba Zitto hapati ushirikiano kutoka kwa mwenyekiti na katibu mkuu wa CHADEMA, sasa sijui sababu ni nini?
 
Back
Top Bottom