saronga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 909
- 218
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Dada Hamida unapenda kweli kuvunja watu mbavu, yaani wewe hata huyo mumeo na hao watoto wako nafikiri hawakuelewi. Hii midawa ya kulevya inakuharibu sana dada yangu. Hebu jaribu kuacha kidogo halafu uone utakavyobadilika na kuwa Dada mwenye busara na hekima ndani ya jamii. Ni ushauri tu, ukitaka chukua ukikataa kuuchukua pia ni sawa tu, ila namsikitikia sana mmeo na hao watoto wako wanavyoibeba hii AIBU yako mbele ya jamii.