Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Naamini una ushawishi mkubwa kwa "mateja" wenzio
HAMMY-D; wewe upo kambi ipi? tunatakiwa tujuane mapema; mimi bado sijachangua lakini inaonekana nitakuwa kwa Maalim Abdulah!! kipindi cha mavuno kinakaribia, tumalizie vibanda vyetu, hii nchi haina mwenyewe.
Naamini una ushawishi mkubwa kwa "mateja" wenzio
Mkuu, mimi ni mwananchi mpenda amani, haki na usawa.
Wee msemaji wa Zito au wa Chadema??????
Ya ngoswe mwachie Ngoswe, au ndio adui mwombee njaa?
Good, nadhani CCM inaweza kuwa inahitaji ushauri zaidi kwa sasa. Sababu ikiwa ni kuwa ni chama kinachotuongoza kikiwa kimegubikwa na sintofahamu za kutosha. Kwa nini usianze kwa kuwashauri wabadili Mwenyekiti wa chama na upendekeze mwenye uwezo wa kutufikisha mahali fulani?
Mwenyekiti akiwa Mbowe ni kikundi cha watu wachache.... Mwenyekiti akiwa Zitto ni kikundi cha watu ''wengi'' kwa mujibu wa hoja yako...
Kweli BAVICHA waliona mbali sana kufukuza hii takataka katika jumuia yao maana uwezo wa kujenga hoja haupo. No wonder lichama lenu la maCCM limetuboa watanzania na tunajipanga kulizika 2015 maana limekaliwa na watu wa very low IQ wote. Na nyie mpeni Kinana uenyekiti basi maana ni mtu wa KAZI!
kweli kabisa hili chadema wasiumbuke au wasijinyonge (wanachama wa cdm) mwaka 2015 wampe zitto nahami watashinda
Uko tayari kuisaliti CCM kwa sababu ya ZITTO?Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.