Mlamba asali katika ubora wake. Yetu macho.Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
Ndio zipi hizo, au ndio nani huyo uchara?Zitto aache siasa za uchwara hazifahi na wala hazina manufaa kwa Taifa
Zitto ni Mdini sana pia mchukua hela sana..nimemfahamu huyu jamaa toka UDSM...wewe mkumbushe lile tukio la kurekodiwa akipokea hela bank fulani.....Kitendo cha kukaa kimya awamu hii ni kiashiria kuwa ni msaka tonge. Awamu ya 5 aliwaka sana, ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua huyu jamaa ana element za udini ndio maana awamu hii hata tozo haziongelei.
Ndugu yangu Tindo nadhani sio hivyo kuhusu maridhiano na CDM. Nilisikiliza mazungumzo ya Lissu YouTube huko Clubhouse nikapata picha mpya kabisa kuhusu haya maridhiano yanayo endelea na kwa nini kwa sasa Chadema haijitoi kutokana na tabia inayoonyeshwa na CCM. Kazungumza kwa kina kuhusu uvumilivu wa Chadema kama chama cha Siasa na nini jukumu la sisi WANANCHI baada ya chama kutimiza wajibu wake.Si ndio hapo sasa, huu ujinga wa maridhiano ndio Mbowe kaanza kuupeleka CDM, matokeo yake hayo maridhiano yameishia kumpa Mama Samia na CCM yake political millage kuwa wanapenda maridhiano, ila kiuhalisia bado wapinzani wamewekwa kona ileile ya makatazo ya kufanya siasa kwa uhuru.
JPM yule shetani keshakuwa mbolea sasaZitto ni Mdini sana pia mchukua hela sana..nimemfahamu huyu jamaa toka UDSM...wewe mkumbushe lile tukio la kurekodiwa akipokea hela bank fulani.....
Watu wa namna hii hawafai sema nini watu tunaangalia tu...
JPM alimjua huyu Yuda vizuri tu ndio maana hakucheka na kima...
Magufuli anafahamika kuwa ni fisadi na muuaji labda nyie wanyonge msiokuwa na akili ndio mnamuona mkombozi wenuMwanzoni waliingia kwa staili ya kumchafua Magu. Siku hizi wameacha maana kila wakimchafua wanajikuta wao wanachafuka mara tano.
Wauza ndaga, wadangaji, wazembe na wabadhilifu bila kusahau vyeti fake mlipata nae tabu sana, aliwanyoosha KweriKweri...almost 2yrs now since he left bt still mnaweweseka nae...10yrs will passby and still mtakua mnamshushia lawama for all your misfortunes...heb mjitahidi mzae hizo mimba alizowaachia mmove on...Life got move onMagufuli anafahamika kuwa ni fisadi na muuaji labda nyie wanyonge msiokuwa na akili ndio mnamuona mkombozi wenu
Shetani kuliko nani?..kuliko huyu Yuda wako....ipo siku ambayo haina jina tutatafutana baada ya kila kitu kuwa wazi...JPM yule shetani keshakuwa mbolea sasa
Kwanza huyo mgombea wake ana nini takataka tu ..anataka abebwe huu ni ufala sana....Ubovu wa mgombea wao lawama anatupiwa Magufuli??
Duuh.
Huyu mtu ana chuki kubwa sana mpaka imegeuka sumu ndani ya mwili wake.
Yes keshakuwa mbolea ila hakuwahi kucheka na kima kama nyie!JPM yule shetani keshakuwa mbolea sasa
Basi angekuwa hai, mbona tulimuua?Yes keshakuwa mbolea ila hakuwahi kucheka na kima kama nyie!
😂😂 Jiwe muuaji yule keshaenda na majiShetani kuliko nani?..kuliko huyu Yuda wako....ipo siku ambayo haina jina tutatafutana baada ya kila kitu kuwa wazi...
HayatuhusuuuKama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005