nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Mlamba asali katika ubora wake. Yetu macho.Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005