Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa.

Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na Magufuli.

Msikilize hapa Zitto akimwagia sifa lukuki na sifa kede kede Magufuli enzi za uhai wake alipotembelea Kigoma. Zitto anakiri kua Magufuli amewapelekea watu wa kigoma maendeleo na anasema ushahidi ni idadi ama nyomi ya watu waliopanga msululu ama msafara barabarani kumlaki Magufuli.

Zitto anakiri kabla ya Magufuli watu wa kigoma hawakua na maji ila serikali ya Magufuli imewapelekea maji.

Leo hii Zitto anashinda mitandaoni kumtukana Marehemu Magufuli wakati enzi za uhai wake amemsifia mbele yake.

Zitto tunajua hupendi ama hutaki mama aonekane hana uwezo, sasa unashirikiana na wabaya wa Magufuli kuhamishia udhaifu wa serikali ya awamu ya sita na matatizo yake kwa Magufuli ila watu wenyewe wanaona kwamba hii serikali imeshindwa kabla haijaanza, failed from the start.

Miezi 6 tu hakuna umeme, hakuna maji, mafuta bei ghali, vifaa bei ghali na sio muda nchi itakosa chakula.
 
Siku moja baada ya kusema Magufuli ajafanya chochote kwenye umeme akaweka hiyo post.

Sasa unajiuliza huo umeme si unaingia kwenye grid la taifa.

This guy is amazing.
 
wanasiasa wengi wa Tanzania ni wanafiki, sio Zitto pekee hata ndani ya ccm humo humo walimpa sifa hadi za utukufu lakini leo wanamnyea kama sio wao, hata wanaomsifia samia sasa wengi wao ni wanafiki na wachumia tumbo.
 
Mh. Zitto nilishamtoa kichwani kabisa. Yupo too subjective ktk judgment zake. Na wale wote wanaomtumana marehemu na kumdharau wameshajiandalia kifo cha mapema maana Marehemu huwa hatukanwi.

Mi nawshangaa sana hivi unaanzaje kumsema vibaya au kusema eti Dkt Magufuli alikuwa muongo kuhusu Bandari ya Bagamoyo na kusema eti hakuna mkataba wakti vielelezo vipo?

Yaani kifo cha Dkt Magufuli kitaisumbua sana hii nchi, yaani mpaka sasa rais Samia yupo peke yake kabisa aliowateua kwa sehemu kubwa hawamtendei haki.

Hapakuwa na haja na sisi kujua uhalali wa mkataba zaidi ya kutuambia serikali imefanyaje ili kuhakikisha tunakuwa na maslahi
 
Ungeainisha pia kuwa hapo alipomsifu ilikuwa lini!

Kama unafutailia mambo .. Mwanzoni Zito alikuwa anamuunga mkono jiwe...kabla hajashtuka!

Hata hivyo jamaa anatatizo
 
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa.

Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na Magufuli.

Msikilize hapa Zitto akimwagia sifa lukuki na sifa kede kede Magufuli enzi za uhai wake alipotembelea Kigoma. Zitto anakiri kua Magufuli amewapelekea watu wa kigoma maendeleo na anasema ushahidi ni idadi ama nyomi ya watu waliopanga msululu ama msafara barabarani kumlaki Magufuli.

Zitto anakiri kabla ya Magufuli watu wa kigoma hawakua na maji ila serikali ya Magufuli imewapelekea maji.

Leo hii Zitto anashinda mitandaoni kumtukana Marehemu Magufuli wakati enzi za uhai wake amemsifia mbele yake.

Zitto tunajua hupendi ama hutaki mama aonekane hana uwezo, sasa unashirikiana na wabaya wa Magufuli kuhamishia udhaifu wa serikali ya awamu ya sita na matatizo yake kwa Magufuli ila watu wenyewe wanaona kwamba hii serikali imeshindwa kabla haijaanza, failed from the start.

Miezi 6 tu hakuna umeme, hakuna maji, mafuta bei ghali, vifaa bei ghali na sio muda nchi itakosa chakula.
Zzk na Makamba na Mnauye ni wanafiki wakuu hapa Tanzania.
 
Siku moja baada ya kusema Magufuli ajafanya chochote kwenye umeme akaweka hiyo post.

Sasa unajiuliza huo umeme si unaingia kwenye grid la taifa.

This guy is amazing.
Unategemea mwana ccm tena kada wa ccm atakosaje kuisifia ccm?
 
Mh. Zitto nilishamtoa kichwani kabisa. Yupo too subjective ktk judgment zake. Na wale wote wanaomtumana marehemu na kumdharau wameshajiandalia kifo cha mapema maana Marehemu huwa hatukanwi. Mi nawshangaa sana hivi unaanzaje kumsema vibaya au kusema eti Dkt Magufuli alikuwa muongo kuhusu Bandari ya Bagamoyo na kusema eti hakuna mkataba wakti vielelezo vipo??? Yaani kifo cha Dkt Magufuli kitaisumbua sana hii nchi, yaani mpaka sasa rais Samia yupo peke yake kabisa aliowateua kwa sehemu kubwa hawamtendei haki. Hapakuwa na haja na sisi kujua uhalali wa mkataba zaidi ya kutuambia serikali imefanyaje ili kuhakikisha tunakuwa na maslahi
Wewe utakuwa ni mshirikina au kigagura
 
Mkuu tuwekee na Ile video ya Magu akiwa Waziri wa ujenzi akiwa jukwaani akimsifia kikwete akimwambia baba endelea kusafiri hivyo hivyo utuletee mapesa ya kujenga mabarabara.
 
Sio Zitto pekee mwenye kauli mbilimbili katika wanasiasa wetu tulionao hapa,hata huyo Marehemu Magufuli mwenyewe wakati akiwa Waziri wa ujenzi alimsifia sana Rais Kikwete kipindi kile akisema "Mh Rais wapinzani wanasema eti unasafiri sana,mm nasema endelea kusafiri mh Rais ili tuendelee kujenga barabara ambazo watazitumia kuandamana.sisi tunajenga barabara wao waje kuzitumia kuandamana na hizi barabara ndio matunda ya safari zako."

Baada ya yeye kuwa sasa Magufuli kuwa Rais akabadili kibao akasema "kuna watu wanapenda kusafiri kwenda ulaya kuliko kwenda nyumbani kwao"

Baada ya hapo tukaanza kuona safari zisizoisha za kwenda chato,hivyo basi usiamini kila kitu ambacho mwanasiasa anasema akiwa mbele ya Rais.

Katiba yetu inamfanya Rais awe kama mungu mtu hivi,usimlaumu Zitto huyo Jiwe Mwenyewe alikuwa mnafki namba moja..
 
Back
Top Bottom