Mayotte
Senior Member
- Nov 19, 2021
- 160
- 405
Absolutely Mkuu..sasa kuna wapuuzi wengine humu wanaleta unafki wao kutaka kumpaka matope Zitto kwa sababu zao za kipumbavu.Katika uhalisia maraisi wa Africa
wana nguvu kutokana na katiba na utamaduni wa kuwafanya miungu watu sio rahisi kumkosoa Raisi alie madarakani
utarisk maisha yako au utatengenezewa matatizo majubwa sana na wapambe wake na vyombe vya dola na ndio maana ukosoaji unajitokea wakati wakitoka madarakani Zitto yuko sahihi na wakosoaji wengine wanaojitokeza sasa
Ni nani aliekuwa anathubutu kumkosoa Jiwe alipokuwa madarakani?si TEC,si Bakwata,si CCM,si CC,si Chadema,si Wazee hakuna Mbwa yeyote aliekuwa anakohoa.
Leo hii wanataka Zitto angemkosoa Jiwe hadharani tena akiwa nae?come on ..Mara ngapi Zitto alikuwa anaviziwa akamatwe tena bungeni?mahali ambapo kuna kinga za kikatiba na kisheria pa kusemea..
Watanzania ni wanafiki to the maximum