Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

Absolutely Mkuu..sasa kuna wapuuzi wengine humu wanaleta unafki wao kutaka kumpaka matope Zitto kwa sababu zao za kipumbavu.

Ni nani aliekuwa anathubutu kumkosoa Jiwe alipokuwa madarakani?si TEC,si Bakwata,si CCM,si CC,si Chadema,si Wazee hakuna Mbwa yeyote aliekuwa anakohoa.

Leo hii wanataka Zitto angemkosoa Jiwe hadharani tena akiwa nae?come on ..Mara ngapi Zitto alikuwa anaviziwa akamatwe tena bungeni?mahali ambapo kuna kinga za kikatiba na kisheria pa kusemea..

Watanzania ni wanafiki to the maximum
 
Dogo acha porojo, hata wewe ukifa tutakusema tuu, kama ambavyo wengi husemwa aidha kwa mazuri yao au mabaya yao. Kuhusu bandari ya Bagamoyo acha asemwe maana angetaka asisemwe ule mkataba, kama kweli ulikuwepo angeupeleka bungeni ujadiliwe, tena bunge likiwa live!! Ni ngumu sana kudanganya watu milioni 60 all the time, lazima kuna shimo utalisahau kuliziba na uwongo utajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…