Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema!
Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake
Sasa leo tunamkumbusha tuu
Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo wengine walionyesha majonzi na masikitiko makubwa kwa kuondokewa kipenzi chao cha aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli!
Na leo yeye imekuwa kwake, anaongea kwa uchungu mkubwa kuonyesha naye ni binadamu mwenye kuguswa kama ilivyokuwa kwa wengine walioguswa na msiba wa Magufuli
Tunamshauri kwamba, kama alimpenda mno Membe, akazikwe pembeni yake
Kumbuka!
Kifo hakina adui wala rafiki kwamba kimpite, Kila mwenye nafsi ataonja mauti
R.I.P Kachero Membe