Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kifo ni ukweli ulio wazi...Leo sio Siri nipo natafakariHaya ni marudio tu ya kile Zitto alikisema pale ambapo wengine walionyesha mapenzi makubwa kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alipofariki Dunia
Na leo yeye imekuwa kwake, anaongea kwa uchungu mkubwa kuonyesha naye ni binadamu mwenye kuguswa kama ilivyokuwa kwa wengine walioguswa na msiba wa Magufuli
Tunamshauri kwamba, kama alimpenda mno Membe, akazikwe pembeni yake
Kumbuka!
Kifo hakikimbiwi! Kila mwenye nafsi ataonja mauti
R.I.P Kachero Membe
so natafakari sana siku Moja ni zamu yetu sisi.....