Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

Wale wapuuzi na upuuzi aliokua anauongelea zitto ni wakina nani na walikua wanafanya nini mpaka membe akawakomesha!!?
 
Zitto amechanganyikiwa?? Aliyoongea kwenye msiba wa mpendwa, yanasidifu hiki ninachosema!

Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake

Sasa leo tunamkumbusha tuu

Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo wengine walionyesha mapenzi makubwa kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alipofariki Dunia

Na leo yeye imekuwa kwake, anaongea kwa uchungu mkubwa kuonyesha naye ni binadamu mwenye kuguswa kama ilivyokuwa kwa wengine walioguswa na msiba wa Magufuli

Tunamshauri kwamba, kama alimpenda mno Membe, akazikwe pembeni yake

Kumbuka!

Kifo hakikimbiwi! Kila mwenye nafsi ataonja mauti

R.I.P Kachero Membe
Ayatolla leo kachekesha sana hotuba ya kijinga kabisa.
 
Yaani mtalazimisha kujifariji sana, lakini ukweli ni kuwa dhalimu wa chattle alikuwa anajifanya mungu mtu na sasa hivi hayupo. Huyo Membe hakuwa na madhara yoyote wala sio kifo kilichogusa wengi. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Aliwaacha lakini historia yake hamtaifikia. Ni miongoni mwa Marais Watano wa Tanzania mpaka sasa, nyinyi mmekomea kugombea tu

Kuwa rais wa Tanzania nayo ni sifa ya kihivyo, je angekuwa rais wa US si mngependa watu vichwani?
 
Back
Top Bottom