Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Aisee, niaibu sana.Ayatolla leo kachekesha sana hotuba ya kijinga kabisa.
Yani mtu anapata nafasi yakuongea mbele ya kiongozi mkuu na uma unamsikiliza alafu anaongea mambo ya kipuuzi puuzi.
Msibani watu wenye akili wanatulia na kuongea maneno mazuri ya faraja kwa wafiwa nk.
Yeye ameongea kwa mihemko sana bila aibu.