Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

Sikia wewe membe alikuwa mgombea urais kuoitia act wazalendo ni lazima amuage
 
atazikwa chato
 
Sawa, nyie maadui zake ruksa kuona huo ufundi wa Mungu.
Mimi sina uadui na Membe kama nilivyokuwa sina uadui na Magufuli, ila nimeona maadui wa Magufuli walivyojionea ufundi wa Mungu na jinsi Mungu alivyoamua ugomvi wao na Magufuli kwa kumuondoa Magufuli(wao wanavyodai) na ndio sasa maadui wa Membe wanaona pia ufundi wa Mungu na jinsi Mungu alivyoamua ugomvi wao na Membe.
 
Hiyo ni kimpango wao boss.
 
Hiyo ni kimpango wao boss.
Ndio ni kimpango wao JF lazima watu wajue hivyo kama ilivyo kwa wale maadui wa Magufuli, kutwa kueleza kwamba Mungu ni fundi kwa lumchukua Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…