Kuwepo upinzani kwa miezi mitatu tu hata katiba ya ACT WAZALENDO hajaijua halafu kumpa nafasi kubwa hivyo ni makosa makubwa sana.
Kwa lugha nyingine, amejiunga upinzani kwa sababu ya tamaa ya uongozi, na akishapata uongozi basi adhma yake ataibadili juu kwa juu na asipoata uongozi basi atarudi nyumbani kama wenzie waliotangulia
Lowasa alipata kura mil 6 Magu Mil 8 km sikosei na alihamia CDM miezi 3 tu kabla ya uchaguziSawa lakini tunachosema Membe kuhamia upinzani July, 2020 na miezi mitatu baadaye apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya upinzani kugombea Urais siyo sawa hata kidogo.
Yaani huyu ngosha ni 'genious'. Hakuna kada ambaye huwa anafanikiwa kuwachezesha 'ndombolo ya solo' hawa nyumbu wa Mwamba. Yaani kilasiku wanacheza muziki wake vizuri sana....Teh teh teh..Kada La CCM limeanzisha Mada,
Special kwaajili ya "Kuyagonganisha Vichwa" Misukule ya Vyama halafu lenyewe limekaa kando lina SIP WINE.
Very stupid.
Tusubiri " Magu's Ubatizo wa Moto Part 2"
Kumbe Bado Hamjajitambua.
Kutokana na maelezo ya mh zitto wakuweka wazi maana ya kuwa familia ktk chama na akatolea mfano wa maalim seif kuwa amekuwa sehemu ya familia lakini tuelewe maalim hakutokea ccm yy alikuwa ni mpinzani nasiasa za ipinzani alizijua kwa hiyo yy ni tofauti na mtu alietoka chama tawala lakini nakumbuka lowasa na sumaye walijumuishwa ktk familia ya cdm walikuwa ni wajumbe wa kamati kuu ya cdm na ilibidi wasubiri uchaguzi wa chama kama wangelihitaji nafasi za juu cdm hawana vyeo vya fadhila cheo ni juhudi zako hata hivyo membe hajapewa nafasi yoyote ya juu bado ni mgombea tu wa uraisi kama alivyokuwa lowasa cdmNimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo.
Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’.
Pia, eti hawakujiona au kuonekana kuwa walikuwa ni sehemu ya ‘familia’ ya CHADEMA.
Muda utazungumza tu. Ila Zitto inabidi awe mwangalifu na uchaguzi wa maneno yake.
Kwenye hili nadhani Bw. Zitto anaathiriwa na kuwa ‘prisoner of the moment’.
Natumaini yeye na ACT yake watakuwa na mipango baada ya uchaguzi ujao baada ya kushindwa.
Maana ushindi huwaunganisha watu na ushindwaji hugawanyisha.
Kwa hili Zitto sipo nayeZitto anaongea tu, miaka yote ya utumishi wa Membe huko Serikalini aliwahi kumsikia Membe anaongea/kutetea chochote kwa maslahi ya wapinzani? Labda kuhusu tume huru,sheria mbovu za uchaguzi etc
Atakuja hapa atoe majibu ya siasa haina adui wa kudumu bla bla bla.
Membe ni Lowassa part 2 yule.
Tume ingekuwa huru Lowasa leo angekuwa RaisMbona hili ni rahisi sana.
Lowasa kuhamia CHADEMA, ajenda yake ilikuwa ni moja tu - Kutafuta urais, hapakuwa na sababu nyingine yoyote iliyomfanya ahamie CHADEMA; kwa hiyo baada ya kuukosa urais, hapakuwa na sababu ya kumfanya aendelee kubaki CHADEMA.
Alipopewa misukosuko toka huko alikokukimbia akaona heri ajisalimishe.
Hapo jambo gumu lipo wapi hadi watu kuumiza vichwa vyao juu yake?
CHADEMA, na wao walikuwa na ajenda yao, matamanio ya kushika madaraka.
Walidhani mwonekano aliokuwa nao Lowassa baada ya kukatwa ungeweza kukidhi matamanio yao hayo.
Ndani ya chama chao kwa wakati huo hawakuwa na tegemeo lolote la mtu ambaye angepambana kuwaletea ushindi.
Chama chochote cha siasa lengo ni kupata ushindi.
Ushindi ulipokosekana, wakaendelea kuwa na matumaini kuwa mgeni wao atawaletea mbinu na uzoefu aliokuwa ameujenga kwa muda mrefu akiwa CCM. Lowassa hakuonyesha dalili zozote za kuwa na uongozi wa aina hiyo. Kwa hiyo akabaki kuwa mzigo tu.
Uchaguzi wa 2015, ulikuwa uwe ushindi wa Lowassa. Yule Lowassa, Waziri Mkuu wa Kikwete angekuwepo kwenye kampeni za uchaguzi wa 2015, Magufuli asingepiga kona.
Kwa bahati mbaya, Lowassa wa enzi za Kikwete hakuwepo kuchukua ushindi ule.
Lowassa alishindwa kwa mwonekano wake aliouonyesha kwenye kampeni
Ukiwa unashiba upofu lzmMembe wakati akiwa mnufaika wa mfumo wa CCM aliwahi kweli kuhoji kuhusu u huru wa tume ya uchaguzi?
Au kaanza majuzi hapa baada ya kutimuliwa?
Walikuwa na nafasi ya kubadili mfumo mbovu wakashindwa kufanya hivoTume ingekuwa huru Lowasa leo angekuwa Rais
Hata Zitto ni mtu wa Idarani kama hujuiMembe ni mtu mkubwa sana idarani na huko Act amekwenda kufanya kazi ya idara kwa uaminifu mkubwa
Zitto utakuja juta na chama chako chenye wanachama 6
SureWalikuwa na nafasi ya kubadili mfumo mbovu wakashindwa kufanya hivo