Zitto hafai kuaminika kwenye struggle za nchi hii, yule ni compromised Politician

Dogo unatoka nje ya mstari, rudi mstarini, umeshasahau ulikuwa unampigia vigelegele Zitto?!

Jela ni kukuelezea tu upana wake uelewe, wacha hasira umechagua fungu bovu mwenyewe.
 
Dogo unatoka nje ya mstari, rudi mstarini, umeshasahau ulikuwa unampigia vigelegele Zitto?!
Yah na bado nasema hivi mwacheni afanye siasa anayoona inafaa chama chake kinaitwa ACT siyo Chadema wana sera tofauti dogo.
 
Ndio utulizane…Bosi wako yupo na 'Wasaliti' na katika lugha rahisi wee endelea kutukana ila ujue kuwa huna cha kubadilisha kwny Nchi hii wala huna cha kuathiri katika siasa za hao unaowaita 'Wasaliti' na sasa hivi tunakwenda kwny Uchaguzi wa 2025 bila ya Katiba mpya na tunasubiri msisitizo wenu…mtasusa au mtashiriki?
 

Tofautisha Chadema na washabiki mitandaoni.

Kwani katiba iliyopo ni matokeo ya kuhoji watu wangapi?
 
Tatizo kuna kundi linajiona lina hatimiliki ya 'upinzani' kwenye siasa za Tz.......wanawaona wapinzani wengine wote ni mamluki isipokuwa wao tu.
Andika watanzania wanaliona lina hati miliki, ndio maana mmelinyima haki yao ya kufanya siasa kama sheria inavyotaka, huu ndio ukweli msijikwepeshe mnajitesa bure.

Kama hamuamini waruhusuni wafanye shughuli za siasa muone...
 
Mimi sio mwanachama wa ACT ila tu nawaambia ukweli mwacheni Zitto na Chama chake maana mnataka afuate kile mnachotaka.
Mwambie Zitto ndio aiache Chadema umeshasahau juzi tu alijigeuza msemaji wake kwa kwenda kumuombea Mbowe msamaha ikulu?

Kaa utulie.
 
Wapi umetukanwa?

Lumumba punguza pressure umesha panic, huo uchaguzi nendeni na polisi na tume feki..
 
Mwambie Zitto ndio aiache Chadema umeshasahau juzi tu alijigeuza msemqji wake kwa kwenda kumuombea Mbowe msamaha ikulu?

Kaa utulie.
Mbowe alimuombea msamaha kama Mtanzania yoyote yule. Ile haina impact kwa chama. Sasa nyie mnataka afuate sera zenu na uelekeo wa chadema na tena mnaenda mbali zaidi kwa kumshambulia kwa kutofuata sera na maono yenu.

Kumwambia raisi amwachie Mbowe kumebadili nini kwenye sera za chama?

Kila mtu afanye siasa zake kama anavyoona.

Ila Mbowe ni muungwana sana, yeye kama yeye hata zitto aliposema yale hajamshambulia. Na zitto kakili alimtembelea mara kadhaa wakazungumza akiwa ndani
 
Zitto na Nondo wake siyo watu hata kidogo
 
Mwambie Zitto ndio aiache Chadema umeshasahau juzi tu alijigeuza msemaji wake kwa kwenda kumuombea Mbowe msamaha ikulu?

Kaa utulie.

Tusiache kusamehe x7x70.

Mafanikio makubwa Kenya kisiasa ni pamoja na kutoka huku.

"Hayupo adui wala rafiki wa kudumu bali agenda."

Hatuwezi kukubaliana kuangalia mbele na kusahau whichever ugly past however worse it may had been?
 
Cheki ulivyo kilaza
 
Umeongea sawa, hao wazee walitema sana madini humo safarini, inaonekana ni wasomi wa elimu ya mkoloni.

Zitto ni mibaka siasa, hafai kuongoza hata Kitongoji, yupo pale kwa maslahi yake binafsi na si ya umma.

Kama umekuja kulisema hili leo, basi umelisema kwa kuchelewa sana.


Hata hivyo paragraph ya kwanza umechanganya wasomaji kwa kusema JK alimuongelea ZZK kuwa ni mwenzao, halafu kwenye kikao hicho walihudhuria vigogo wakuu wa Ccm isipokuwa Mwenyekiti!

Basi tuseme kwa kuwa maneno yote hayo ni nukuu kutoka vinywa vya wazee, basi wewe haukuwasikiliza vizuri.
 
Tukana unavyoweza lakini 2025 tunaenda kwny uchaguzi bila ya katiba mpya…msilete usanii mliofanya kipindi kile uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa mkasusa eti mnataka Tume huru na Katiba mpya halafu ilipofika 2020 mkajibalaguza mkashiriki mkatolewa kupitia dirishani
Cheki ulivyo kilaza
 
bahati nzuri hata mumeo anasikia maumivu ya utawala mbovu, bidhaa zimepanda kila sehemu na umeme ni changamoto kwa wote
 

Elewa kwenye kile kikao walikaa wajumbe na viongozi wa ccm , wajumbe wakaonesha wasiwasi juu ya zitto kuwakaba koo kwenye anga za siasa, wajumbe wakajibiwa kua Rais JK kashamaliza kazi hivo wajumbe warelax kwa zitto hakuna wasiwasi ni mwenzao yaani anafanya siasa kwa maslahi ya ccm na mzee kalinga akakumbushia hadi safari ya zitto na jk kule sudan kusini, Au mzee kalinga kasema uongo?
 
Ilitakiwa umjibu hivo mzee Kalinga sasa sio mimi mleta ujumbe


Wewe kama mjumbe uliyetuketea hayo mazungumzo ya mzee Mwakalinga ni wewe ndiye inakupasa umrudishie hayo majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…