Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media zote nchini.

Natamani kosa kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii.
 
Siasa sio upepo ni hoja, kama hoja za Mbowe zimefunika za Zitto ndio siasa, lkn wanasiasa kuanza kulia timing kama zawanamuziki wa Bongo kipindi wanataka kutoa nyimbo huo nao utakuwa usanii.

Wenye akili husikiliza hoja zote kwa wakati wao kisha hudadavua, bali wajinga huvuma na upepo unakoelekea.
 
Mbowe ni mashine kubwa Dr Mollel aliwahi tamka bungeni kuwa Mbowe anastahili kupewa PhD ya siasa naona utabiri unaelekea Zito bado sana aache unafiki kwanza nahivi anavyo elekea uzeeni ni hatari kwake na uchonganishi kwa taifa.
 
Siasa sio upepo ni hoja, kama hoja za Mbowe zimefunika za Zitto ndio siasa, lkn wanasiasa kuanza kulia timing kama zawanamuziki wa Bongo kipindi wanataka kutoa nyimbo huo nao utakuwa usanii.

Wenye akili husikiliza hoja zote kwa wakati wao kisha hudadavua, bali wajinga huvuma na upepo unakoelekea.
Kweli kabisa. Na biashara ni ushindani, ukizidiwa hoja ndo imekula kwako.
 
Lini ulianza kumpenda Zitto? Peleka ushauri wako kuzimu kwa meko jehanamu.
 
Naamini Zitto kabwe umo humu JF hebu tafakari hizi hisia za watu...ukiweza badilika una safari ndefu bado kisiasa na mitandao ya kijamii ina nguvu sana
Kama ni mwenye kusikia apokee ushauri huu

Siasa sio ajira ni huduma

Bwana mdogo anajipoteza kisiasa wengi wamekosa matumaini na usaliti wake

Hana msimamo

Salute Mbowe
 
Back
Top Bottom