Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

Sku zote zitto hujiona anajua sn na sku zote anapambana kumprove mbowe wrong kwmb hana lolote
bnafs nlijua kbs zitto amefanya kusudi kbs kuja na uchambuz wake likiwa kama n jbu kwa mbowe yan alitupa karata yake ya uchambuz hewan tena kwa nguvu kubwa ya media na alvyo muhun akapga ktu ambacho kpo hot cha c.A.G akiamin watu watamfatilia sn kuliko kufatilia na kujadili ya mbowe lakn hajui aliyekutangulia mpishe

Zitto bdo haamin chadema n kubwa sn tena hako ka chama kake hakagus hata kdogo mi huwa nashangaa sn chama bwana zitto kpo wp maana mi npo kanda ya ziwa huku hakuna mdudu aitwaye a.C.T lakn huko kgoma pia chadema ipo na ni kubwa kuliko chama chake naye anajua hlo

Viongoz wote wa A.C.T akiwamo na yeye wametoka chadema sjui tambo zake huwa n nn

Upande wa zanzibar kwasasa hana jpya baada ya mzee maalim seph kufariki kule a.C.T hawana sera za kuwashawish wazanzibar na uwenda akna jussa wakatafuta mbadala wa A.C.T bora kdogo chadema inajulikana huko zanzibar khs muungano yan leo zitto aende zanzibar ksha lissu nae aende unadhan nani atawateka wazanzibar iko waz lissu atawateka sbb tu ya mambo ya muungano hvyo hata huko kashapoteza

Kiukwel amechemka sana kumjaribu mbowe kutaka kujaribu kushndana na mbowe na msidhan hakuwa anajua mbowe ataongea jpl alijua kbs na alivyo zwazwa ye akawahi mapema akdhan watu watakuwa wame concentrate kwny uchambuz wake hawatakuwa na muda na mbowe lakn nadhan amejfunza

All in all namheshmu zitto bdo n mwanasiasa mzuri kama angetuliaga chadema yule jamaa angekuwa hatari sn zaid ya hapo.
 
Kumbe mnashindana kuteka coverage ya vyombo vya habari?
 
Naona mnaparurana hapa nani kateka media kuliko mwenzake.

Inasikitisha mno kwamba malengo ya vyama vya upinzani ni kuteka media tu.
 
Hoja ya Mbowe ya katiba mpya ndio muhimu zaidi kuliko hayo mambo ya siejii ambayo mmekuwa mkisikia miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa.

Next time nimshauri Zito na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka midia zote nchini.

Natamani kosa Kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wafuasi wa jiwe ni wasaka fursa kwa njia zozote, wanaamini nchi haiwezi kwenda mbele bila chama chao,wengi ni vilaza wasio hata na elimu ya ngumbaru, wanaamini katika kusifiwa tu bila kukosolewa, wengine ni makatili ambao wanashangilia raia wenzao wakifanyiwa ukatili, hawaamini nchi inahitaji katiba mpya na taasisi imara bali inahitaji tu mtu aina ya jiwe ili iende mbele.
Wafuasi wa Mbowe na wafuasi wa Magufuli..
What's the difference?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu anajiposition kama Musiba.
Ni kilwao kwa siasa za vyama vingi alifanya bile delibarelty CDM IKO MIOYONI MWA WANANCHI NA JANA AMETUTE DEA HAKI KAMA.MUNGU ALIVYOTUTE DEA HAKI KWA MWENDAAKE
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimejifunza vitu vingi Sana Jana kwenye hotuba ya mwamba, lakini kitu alichotushangaza jana Mimi na wengine nilikuwa nao wakati tukifuatilia hotuba ni kutoa hotuba ndefu Sana bila kusoma, ya I mwamba anaflow tu anaflow tuuu, bila kusoma.

Angekuwa. Jiwe angeruadia hoja hizohizo mara 50
 
Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media zote nchini.

Natamani kosa kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii.
Kila mtu ana audience yake na malengo yake
 
Zito amefanya uchambuzi mzuri, ila ni ukweli kuwa cdm ndio inayobeba wapinzani wengi, ambao kwa bahati mbaya hata Zito ndio anaowataka. Ni kweli ni vyema Zito akubaliane na ukweli huu, ingebidi ule uchambuzi wake aufanye siku tofauti na Mbowe anayoongea ili ujumbe wake ufike kwa usahihi. Ama wangekubaliana na Mbowe hizo hotuba zao ziwe siku tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom