kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kumuamini Zitto ni lazima uwe PUNGUANI!!!Compromised already. Usicheze na Dr. Mwinyi
Kweli kabisa. Na biashara ni ushindani, ukizidiwa hoja ndo imekula kwako.Siasa sio upepo ni hoja, kama hoja za Mbowe zimefunika za Zitto ndio siasa, lkn wanasiasa kuanza kulia timing kama zawanamuziki wa Bongo kipindi wanataka kutoa nyimbo huo nao utakuwa usanii.
Wenye akili husikiliza hoja zote kwa wakati wao kisha hudadavua, bali wajinga huvuma na upepo unakoelekea.
Kama ni mwenye kusikia apokee ushauri huuNaamini Zitto kabwe umo humu JF hebu tafakari hizi hisia za watu...ukiweza badilika una safari ndefu bado kisiasa na mitandao ya kijamii ina nguvu sana
Salute Mbowe[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1534]Kama ni mwenye kusikia apokee ushauri huu
Siasa sio ajira ni huduma
Bwana mdogo anajipoteza kisiasa wengi wamekosa matumaini na usaliti wake
Hana msimamo
Salute Mbowe