Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

Wakati Magufuli yupo Zito alikuwa rafiki yenu..
Magu amefariki Zito amekuwa adui yenu!!?
 
Wote zito na mbowe wanomba poo ili wapate tena fursa. Mama Samia tumemkabidhi shamba letu la maindi, tunaomba asichekecheke na nyani.
 
Cc ZZK
 
Naona mnaparurana hapa nani kateka media kuliko mwenzake.

Inasikitisha mno kwamba malengo ya vyama vya upinzani ni kuteka media tu.
Hahaha kwani huwa unawachukulia serious upinzani?
 
wenye kufata upepo wa kigogo ndio mmekazania ya mbowe japo yana umuhimu wake, ila kwa sisi penye fıkra pana kwa jailli ya Taifa letu tunasikiliza uchambuzi wa ACT wendy kutoa majawabu kwa changamoto za Nchi yetu na sio siasa
 
Hata mama naye awe anaangalia Mbowe yuko wapi kabla ya kufanya ziara zake , habari za Uganda zimeteketezwa na Kishindo cha Jabali Mbowe
 
Hotuba ya Mbowe yote inamambo Matatu.
✓Kuomba Huruma yake Binafsi na chama chake .

✓ Malalamiko
✓ kuelezea Hofu waliyonayo kwa Mh Samia.
✓ na Zaidi Amecopy mambo kadhaa kutoka kwa Hotuba za Zitto ikiwemo Kibwagizo chake.
 
Hii nchi ina watu wa ovyo sana, hivi mleta mada na wanaomsapoti wanasumbuliwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…