Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto

====

Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa, TAKUKURU inatumika kisiasa. #Siogopi

AA1EF738-5247-4747-AD94-3280EDE9D832.jpeg

Alichoandika Zitto kinawezekana kabisa kutokea. Huyo jamaa haamini katika uchaguzi huru na haki hata kidogo.

Kwa hiyo Zitto , Sugu na baadhi ya wengine kwenye majimbo korofi wajichunge maana malaika wa giza yuko kazini kuhakikisha wanakuwa nje ya bunge.
 
Ila unamjua vzuri huyo Zitto? Kifupi tu kwa kkusaidia Usalama yupo kazini ndugu yetu Erick Kabendera Familia yke inapata Tabu saizi unajua Nani na Nani walikuwa nyuma yke kwenye kumshawishi...
Alichoandika Zitto kinawezekana kabisa kutokea. Huyo jamaa haamini katika uchaguzi huru na haki hata kidogo.

Kwa hiyo Zitto , Sugu na baadhi ya wengine kwenye majimbo korofi wajichunge maana malaika wa giza yuko kazini kuhakikisha wanakuwa nje ya bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto

View attachment 1327385
Wakati wapinzani wanaondoka bungeni kupinga hotuba ya dikteta Magufuli baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi Zanzibar , Zitto alibaki bungeni na kusifiwa sana na Dikteta Magufuli , tulimuonya kwamba Shetani hana rafiki lakini akatupuuza
 
Back
Top Bottom