Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Upo sahihi lkn alikuwa kazini na kwa ili pia yupo kazini ndio maana ameungana Maalim Seif wote wawili ni watumishi kamili wa St Peter...
Wakati wapinzani wanaondoka bungeni kupinga hotuba ya dikteta Magufuli baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi Zanzibar , Zitto alibaki bungeni na kusifiwa sana na Dikteta Magufuli , tulimuonya kwamba Shetani hana rafiki lakini akatupuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watendaji wote wa kata wa tz nzima waliwahi kuhamia Ikulu kupewa mbinu za kuharibu form za wagombea wa upinzani, takukuru nzima kuhamia kigoma itashindikanaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo KUB Mbowe pale Hai anashughulikiwa na DC tu akisaidiwa na Takukuru Wilaya ndio ije kuwa huyu bwana mdogo Zitto.

OCS anatosha kabisa kushughulika na Zitto!
 
Back
Top Bottom