Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Sijawahi ona sheria ya kingese kama hii ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha. WTF.

"If a hammer is the only tool you have, every problem looks like a nail"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigoma line ,Zitto sio mchezo narudi kigoma kigoma sio mchezo .Ulizia mwanaharakati yuko wapi soon hamtamwona tena
 
Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!

Huu ni urongo!


Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!

Huu ni urongo!


Huo ni uongo usio na chembe kama ofisi nzima wako kigoma ina mana ukienda kule makao makuu patakuwa pamefungwa? Labda angesema baadhi ya maafisa wa makao makuu wapo huku kunifuatilia lakini sio wote yaani na mkurugenzi wao yupo huko au,hiyo taarifa labda ilichukuliwa vibaya mana makao makuu inakuwa na watumishi wengi! Kuwasafilisha kwenda na kurudi sio mchezo.
Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!

Huu ni urongo!
 
Huyu jamaa amekuwa kama mfaa maji tu..watu wamempuuza kabisa..hopeless
Watu wepi waliokutuma kuwasemea kuwa wamempuuza zitto ambao Mimi sio mmojawao? Sijakutuma na sijampuuza zitto so,usininee!
 
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto

====

Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa, TAKUKURU inatumika kisiasa. #Siogopi

View attachment 1327385
View attachment 1327492
Du kama Hilo ndivyo, basi kuna maswali mengi juu ya wale ambao walishitakiwa kwa kosa la namna hiyo, mungu akufanyie wepesi uyashinde yote haya
 
Back
Top Bottom