Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Wacha nitabiri ! Wiki hii unakufa wewe ! 😎
Nakufa saa ngapi Sasa? Maana week hii ndo imeshaisha. Lissu ana watoto
ukitangulia wewe itakuwaje?[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani angetangulia Lissu ingekuwaje? Au alivyotangulia Ben Saanane umekuwaje? Au Alivyotangulia Azory imekuwaje? Hakuna maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua yenye thamani kuliko ya binadamu mwingine.
 
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto

====

Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa, TAKUKURU inatumika kisiasa. #Siogopi

View attachment 1327385
View attachment 1327492
[emoji23][emoji23][emoji23] Zitto bana! Halafu kuna watu wataamini hii hekaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni Msafi unaofia nini? Waache wafanye Kazi yao maana icho ni Chombo cha Dola kina Mamlaka kisheria kutekereza Majukumu yake dhidi ya Mtu yoyote hapa nchini uwe kiongozi au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajiheshimu saana na kinachopostiwa unatakiwa kukifanyia utafiti, na uanzie kubisha hapo kwani wewe umekurupuka angalia ulichoandika na nilichoandika, unaonekana huna staha.
Nimekueleza tuliza akili zako rudia kusoma na fanyia utafiti kwa namna unavyohisi.
JF ni mahala pa kushauliana na kurekebisha tabia chafu. Zitto anatumia mitandao mingine hayupo hapa sana labda rafiki yake aitwaye Mogha. Ila kwaajili ya Siasa kuna Watu ningewataja lakini anaweza kujinyonga.
Kwenye utafiti wako anza kwa Baba Levo muulize aliahidiwa nini akiwa Gerezani na baada ya kutoka Gerezani amekikuta kipi, Muulize rafiki yake waliyeshirikiana kupiga madili na aliyekuwa na Ratiba ya Zitto aende wapi kwenye Kampeni za 2015 muulize baada ya kufungwa ni kitu gani kilimkuta.
Tushauliane na tuelimishane tabia za Zitto hazitakiwi kuigwa Kabisa, na ukimweka karibu lazima akumalize Mfano Filik
Hayo uliyoandika na habari za matako yake vinahusiana nini?Kuwa staha na kuheshimu wengine,matusi ni dalili ya kuishiwa hoja!
 
Zitto ameingiwa na hofu
Namshauri atulie tuu,ukiwa mpambanaji lazima uhakikishe unafuta nyayo zako vinginevyo utakua kabendera tu
 
Right...

Nani kawaua hao?

Kama una proof beyond reasonable doubt.. nani kawaua hao?

Koz kama ni kuhisi wako wanao muhisi Mbowe kuhusika na wako wanaomuhisi Magu kuhusika...
Nakufa saa ngapi Sasa? Maana week hii ndo imeshaisha. Lissu ana watoto
Kwani angetangulia Lissu ingekuwaje? Au alivyotangulia Ben Saanane umekuwaje? Au Alivyotangulia Azory imekuwaje? Hakuna maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua yenye thamani kuliko ya binadamu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto

====

Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa, TAKUKURU inatumika kisiasa. #Siogopi

View attachment 1327385
View attachment 1327492
Tatizo kubwa kwa waratibu wa mambo haya ya kihuni husau msemo ufuatao, "auwaye kwa upanga, naye pia atauwawa kwa upanga". Wanasahau kuwa cheo ni dhamana, na tena ni cha muda, kwa kuwa muda utawadia nao watatahiriwa maovu yao ya ufisadi na udhalimu pasipo kuwa na ganzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma dikteta hua hawafi kwa magonjwa kama shinikizo la damu au cancer au sukari. Hua wanakufa vifo vya kudhalilisha sana (Saddam Hussein alinyongwa, Muamar Gaddafi alijificha kwenye kalavati la maji akapigwa risasi mtaani).

Gadaffi alikua dikteta lini ??
 
Right...

Nani kawaua hao?

Kama una proof beyond reasonable doubt.. nani kawaua hao?

Koz kama ni kuhisi wako wanao muhisi Mbowe kuhusika na wako wanaomuhisi Magu kuhusika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ana mamlaka ya kuwaondoa walinzi area D eneo linalolindwa masaa 24 ili atekeleze shambulio la Lissu? Kama jibu ni kuwa hana uwezo huo Sasa swali Nani aliwaondoa walinzi siku ya shambulio la Lissu lililolenga kuchukua uhai wake? Na aliyeondoa walinzi umesikia kachukuliwa hatua gani? What if ingetokea kashambuliwa spika au waziri yeyote angepelekwa Mhimbili ili wakapate idhini ya kupelekwa nje ya nchi? Na Kama angeenda spika kutibiwa nje akiwa hajitambui asinge garamiwa matibabu yake? Naje tunavyoongea mda huu spika au mbunge yeyote wa Ccm angekuwa kavuliwa ubunge? Swali jingine ni Nani aliruhusu namba ya cm ya mkononi ya Ben Saanane kugawiwa kwa mtu mwingine katikati ya uchunguzi ukiendelea? Yaani wewe upotee Leo baada ya week tatu voda waigawe namba kwa mtu mwingine uliwahi ona wapi ujinga huo? Hao waliokuwa wanapeleleza kupotea kwa Ben umesikia wameichukulia hatua gani kampuni ya voda kwa kuwaharibia that piece of evidence? NARUDIA TENA HAKUNA MWANADAMU YEYOTE AMBAE UHAI WAKE UNA THAMANI KULIKO UHAI WA MWANADAMU MWINGINE. Nasema tena nikiwa na akili zangu afe tu na yeye....Ben Saanane alikuwa na mke na alikuwa na wazazi pia.
 
1. walinzi... kwakuwa hakujawahi kutokea tukio baya walinzi walikuwa wakizembea na kutokuwapo. Naamini wamechukuliwa hatua.

2. Kutibiwa nje hakukuhitaji idhini ila taarifa rasmi ya tiba zake ilihitajika kwa nwajiri.

3. Ubunge amefutwa baada ya kugoma ama kushindwa kutoa taarifa za kitibabu kwa mwajiri wake.

4. Kitogharamiwa matibabj kulitokana na kutotoa taarifa rasmi. Yet serikali ya Raisi wa wanyonge alilipia baadhi ya gharama...

5. Saa 8 sijui hilo tukio sina jibu wala busara ya kulielezea kuwa simu yake alipewa mtu mwingine...

6. Am sure atakufa tu ila jua nawewe namimi tuko humohumo.... Kigumu ni nani ataanza... Na kumbuka kufa sio adhabu... ni utukufu na njia ya kwenda mbinguni.. Amina.

Teh! Hoja yako namba moja inasadifu user name yako! Kila raheli "fyatueni watoto elimu ni bure"
 
Kuna mambo Zito mpaka yanamuohopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amrpuuzwa kwa sasa hata hajui nn kinafuata

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa

Zito angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana nimrpenda kimyakimya hiki
Sawa mama zitto sisi ni nani hata tukupinge,
Ww ndo unalala nae unaamka nae
Ww ndo unampikia unamfulia nguo
Bila shaka unamjua vyema mmeo.

Akili huna that's big mistake
 
Kuna mambo Zito mpaka yanamuohopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amrpuuzwa kwa sasa hata hajui nn kinafuata

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa

Zito angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana nimrpenda kimyakimya hiki
Nenda kajifunze kuandika ndio urudi tena..
Pumbavu.
 
Back
Top Bottom