Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Jiwe kama ana mambo yake nyeti aachie ngazi akafanye biashara zake. Zitto yeye anaibua mambo ya umma na masuala ya umma hayanaga unyeti
 
Kuna mambo Zito mpaka yanamuohopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amrpuuzwa kwa sasa hata hajui nn kinafuata

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa

Zito angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana nimrpenda kimyakimya hiki
ndugu, mbona weye ndiye unaonekana ku panic kabla hata ya Zitto?
by the way, jina lake ni Zitto siyo Zito...
 
Kuna mambo Zitto mpaka yanamuogopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amepuuzwa kwa sasa hata hajui nini kinafuata.

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa.

Zitto angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana, nimependa kimya kimya hiki.
Sasa akamatwe kwa kosa gani?

Nyerere alishasema mkishakula nyama ya mtu hamtaacha...yan tangu mwonje damu ya Alphonce Mawazo, Tundu Lissu, Ben Saanane, Akwilina na maelfu wengine saivi kila raia mnayemwona udenda unawatoka, nyama za watu tamu, eti?
 
Kuna mambo Zitto mpaka yanamuogopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amepuuzwa kwa sasa hata hajui nini kinafuata.

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa.

Zitto angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana, nimependa kimya kimya hiki.

Mbona wewe hufananii kuwa mmbea pia mchonganishi??
Kwa taharifa yako ZZK ni mti mkavu, ata wewe mmbea mguse uone kama manyoya yako ya chini ya kitovu hayatakunyonyoka.
Kaa mbali na ZZK
 
Mbona Lisu mlimkamata mkachoka, mkaamua kumfanyizia?
Kuna mambo Zitto mpaka yanamuogopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amepuuzwa kwa sasa hata hajui nini kinafuata.

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa.

Zitto angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana, nimependa kimya kimya hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuvuta bhangi maana ni maujinga tu humu
 
Mbona wewe hufananii kuwa mmbea pia mchonganishi??
Kwa taharifa yako ZZK ni mti mkavu, ata wewe mmbea mguse uone kama manyoya yako ya chini ya kitovu hayatakunyonyoka.
Kaa mbali na ZZK
Hahaaaa.....nafikiri bado wanatafuta angle ya kumbana wanashindwa.
 
Kosa kubwa ni kumruhusu akaenda kuwashitaki nyumbani kwao hayo mabeberu. Mkamateni Heche kabla hajafika Kibaigwa akitoroka.Nadhani akikaa pale kwa vichaa chini ya Mrotwa huku akionja cha mbwa mwizi kwa siku 4, bunge litapoa hili na miswada yoote itapita bila upinzani mkubwa
 
Kuna mambo Zitto mpaka yanamuogopesha yanamnyima raha alitegemea kuichokonoa Serikali angejibiwa kwa kukamatwa lakini amepuuzwa kwa sasa hata hajui nini kinafuata.

Mzimu wa dola ukikunyamazia hatari yake ni kubwa kuliko ukikamatwa.

Zitto angekuwa guru angekamatwa kuliko kuachwa anakosa raha sana, nimependa kimya kimya hiki.
Wewe nini kinakuuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naleta habari kama nilivyoipokea kutoka mitaani nilikokuwa nahangaika kutafuta ugali.
Najua kwakuwa si maarufu hapa jf basi ni rahisi moderators kuufuta uzi huu.
Kama habari hii itakuwa ya kweli, Mheshimiwa Zito akapewa kesi au kufanyiwa jambo lolote baya hivi karibuni, basi kama nchi tutakuwa tuko katika hali ngumu
Hebu tuungane kukemea huu uhuni wa kupeana kesi za kihuni kwa maslahi ya wahuni wachache
 
nchi tutakuwa tuko katika hali ngumu
Hebu tuungane kukemea huu uhuni wa kupeana kesi za kihuni kwa maslahi ya wahuni
Naleta habari kama nilivyoipokea kutoka mitaani nilikokuwa nahangaika kutafuta ugali.
Najua kwakuwa si maarufu hapa jf basi ni rahisi moderators kuufuta uzi huu.
Kama habari hii itakuwa ya kweli, Mheshimiwa Zito akapewa kesi au kufanyiwa jambo lolote baya hivi karibuni, basi kama nchi tutakuwa tuko katika hali ngumu
Hebu tuungane kukemea huu uhuni wa kupeana kesi za kihuni kwa maslahi ya wahuni wachache

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom