Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Ulianza vizuri weee mwishoni ndio umeonyesha UJINGA NA UPUMBAVU wako wote.

Hata kama humpendi mtu sio kumsjngizia vitu vya uongo. Kibongo bongo Zito bado yupo kwenye chati ya wanasiasa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry kama nimetumia Lugha kali nisamehe, Ila Zitto Kabwe anatakiwa abadilike Siasa zake hazitoi dira nzuri kwa vijana, haswa michezo ya amberut
 
Ma dikteta hua hawafi kwa magonjwa kama shinikizo la damu au cancer au sukari. Hua wanakufa vifo vya kudhalilisha sana (Saddam Hussein alinyongwa, Muamar Gaddafi alijificha kwenye kalavati la maji akapigwa risasi mtaani).
Wacha nikusaidie basi: Nikolai Cescescu alipigwa risasi siku ya Christmas 1989, Samwel Doe alikatwakatwa vipande 1992, Iddi Amin alikufa hovyo Saudi Arabia, Jean Bedel Bokasa alifungwa maisha central Africa akaachiwa akafa kihoro, Mobutu alikufa na kuzikwa na watu wachache Morroco ,

JPM anafanya kazi nzuri sana zinazo onekana kwa macho na kushikika na kutembea nchi nzima kwa gari na kuonana na wananchi, msimuweke kundi hilo jamani !
 
Ila unamjua vzuri huyo Zitto? Kifupi tu kwa kkusaidia Usalama yupo kazini ndugu yetu Erick Kabendera Familia yke inapata Tabu saizi unajua Nani na Nani walikuwa nyuma yke kwenye kumshawishi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea zamani watawala mafedhuli waliamini kwamba;njia pekee na nzuri ya kuwatiisha na kuwaogofya ni pamoja na kuwaua ama kuwatesa vikali.
Siku hizi watu wenye busara waliishatambua kwamba hizo ni njia za kijinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

Huu mwaka wa uchaguzi tutasikia mengi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kufutia Zitto Kabwe kushindwa kuwapatanisha Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji, ili kujiimarisha kisiasa amebuni Mbinu Mpya ya kuwashawishi Jeshi la Polisi Wamkamate.

Akiwa anaondoka Kigoma tarehe 18.01.2020 akiwa anaelekea uwanja wa Ndege kwa Kigoma kupanda ndege za ATCL ambazo hakufanikiwa kuziingiza kwenye mtego wa madili yake huko Africa kusini na Canada.

Alimuaga rafiki yake Wilson Awimo Mogha kwamba akifika Dar es salaam atahakikisha afanye siasa za either kulitukana Jeshi la Polis au Takukuru ili akamatwe na kumnufahisha kisiasa.
Watanzania kweli Zitto ameishiwa sera hivyo anaanza kutafuta Sera za kufungwa kuonesha anaonewa.

Akiwa kwenye Guest ya Awimo iliyopo Kilima Hewa alieleza wazi kuwa kwa Muda mrefu amewadanganya Wananchi wa Kigoma, ili ashinde 2020 nilazima atengeneze Mazingira ya siasa za Huruma kwa kukamatwa sana, kwakuwa ana mawili akina Thomas Mtatizo Msasa eti akitoka hiyo ndo itakuwa kete ya kumrudisha mjengoni.

NB: Zitto Kabwe nasikia akiwa Gerezani anagawaga Mambo, ndiyo maana hata akitembea huwa Matak anayabakiz. Na usiku wa tarehe 17.01.2020 Aliwafuata Vijana watatu wamsaidie kumkuna maeneo.

Zitto umefika hali hiyo Mpaka umesababisha sura yako kuwa hivyo kutokana na kunogewa na raha ya Kik.
Maaana unahofiwa uso na macho yako eti yameathiliwa kutokana na kumsahau Mungu na kuwategemea Wagang 50[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Looks like defamation!
 
Sorry kama nimetumia Lugha kali nisamehe, Ila Zitto Kabwe anatakiwa abadilike Siasa zake hazitoi dira nzuri kwa vijana, haswa michezo ya amberut
We umemdhalilisha kwa hiyo anaytakiwa akupeleke mahakamani ili uthibitishe kama kweli analawatiwa.
 
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto

====

Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa, TAKUKURU inatumika kisiasa. #Siogopi

View attachment 1327385
View attachment 1327492
Kwani wanayoyafanya akina Kacheche kukusanya viwanja siyo kosa ni sawa tu. Kabwe Mburula kweli
 
Back
Top Bottom