Atakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damuHuyo Magu atakaa milele?
Wameanza mapema ili kutompa nafasi ya kupanga mikakati na wapiganaji wake
Alichoandika Zitto kinawezekana kabisa kutokea. Huyo jamaa haamini katika uchaguzi huru na haki hata kidogo.
Kwa hiyo Zitto , Sugu na baadhi ya wengine kwenye majimbo korofi wajichunge maana malaika wa giza yuko kazini kuhakikisha wanakuwa nje ya bunge.
Kwamba hii ndo ile 'zuia nanga kabla meli haijang'oa'Wameanza mapema ili kutompa nafasi ya kupanga mikakati na wapiganaji wake
I can't wait to hear that...natamani iwe week ijayoAtakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damu
Huyu jamaa amekuwa kama mfaa maji tu..watu wamempuuza kabisa..hopeless
Wakati wapinzani wanaondoka bungeni kupinga hotuba ya dikteta Magufuli baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi Zanzibar , Zitto alibaki bungeni na kusifiwa sana na Dikteta Magufuli , tulimuonya kwamba Shetani hana rafiki lakini akatupuuza
Yeye ni nani hadi asichunguzwe? Kama akipatikana na makosa akae tu ndani,mbona wenzake wapo ndani.
Keshazaoea uongo,ngoja wamnase athibitishe kama kweli ofisi imehamia huko,kana jisahau sana haka kajamaa.[emoji3][emoji3][emoji3]Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!
Huu ni urongo!
Ma dikteta hua hawafi kwa magonjwa kama shinikizo la damu au cancer au sukari. Hua wanakufa vifo vya kudhalilisha sana (Saddam Hussein alinyongwa, Muamar Gaddafi alijificha kwenye kalavati la maji akapigwa risasi mtaani).Atakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damu
Wewe uko dar mambo ya Kigoma unayajuajeOfisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!
Huu ni urongo!