Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 593
Alipoahirisha safari moto ukazimika. Ok, tuseme uliendelea kuwaka. Angepata taarifa akiwa anatua angerudi pia?. Kutumwa kutenda kosa tena kosa kubwa la jinai kama kuchoma moto nyumba/mali ya mtu nao ni uhalifu. Hao waliomu 'approach' kumuomba radhi anawaangalia tu!...Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.
..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.
..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
Vipi system imekufa baada ya Jiwe kufa? Wanafiki tu!Labda huijui system wewe
Alipoahirisha safari moto ukazimika. Ok, tuseme uliendelea kuwaka. Angepata taarifa akiwa anatua angerudi pia?. Kutumwa kutenda kosa tena kosa kubwa la jinai kama kuchoma moto nyumba/mali ya mtu nao ni uhalifu. Hao waliomu 'approach' kumuomba radhi anawaangalia tu!.
Yaani huyu mjinga anadhani wote ni wajinga.Inamaana safari yako ya kwenda Nairobi Magufuli aliijua akaamua kuchoma nyumba yako? Mjinga kweli huyu.
Kinyume kabisa na malengo ya Nabii Njozi wa Burigi pamoja na matamanio ya wa kijani na mavikosi yao, CDM imeweza kupita kwenye tanuri la moto kwa vile iko mioyoni mwa watu, INAAMINIKA. AMEN
Labda huijui system wewe
Zitto ni intellectualYaani huyu mjinga anadhani wote ni wajinga.Inamaana safari yako ya kwenda Nairobi Magufuli aliijua akaamua kuchoma nyumba yako? Mjinga kweli huyu.
Zitto Kabwe is one of Brilliant and very smart politician
[/QUOT]
I doubt
Eti; "Sisi ndio tumeumizwa sana"--- hii ndio kauli ya kibinafsi ya chadema kama kwamba hakuna watu wengine walioumizwa sana na utawala wa Magu.
Acheni ubinafsi katika kutetea maslahi ya umma.
Nani rahis kumuamini ?Ngumu sana kumuamini Zitto Kabwe
Ndio maana sipendi chama, CHADEMA tatizo lenu hamtaki mtu apishane fikra na nyie ila nyie mnaona mnakuwa sahihi kupinga fikra za wenzenu hata zikiwa sahihi.
CHADEMA si chama cha kuaminika walikuwa na mengi sana kabla ya uchaguzi 2015, Richmond na Lowassa ndio ilikuwa ajenda yao, lakini cha kushangaa Lowassa wa Richmond ndio akawa mgombea wao. Hii ni hatari sana.
Hehe , nitaendelea hivi hivi mpaka 2025.Tuliza kalio , Acha kimbelembele we changudoa
Ndio walewale washamba, hawa ukiwaambia serikali inao mkono mrefu wao wanadhani ni mkono huu wa dhahiri.🤣
Na aliyeichoma na Magu.
Lazima anamlenga Magu.
Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.
Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.
Hii sio sawa.
Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.
Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.
Hapo umejichanganya mkuu.Magufuli alikuwa worst of them. Alitaka kuifanya nchi Mali yake. Hivyo wakamsaidia kuiba Kura ili wamuondoe vizuri.
CHADEMA haiaminiki, 🤣
Ninavyomjua kama ni kweli chuki alizokuwa nazo lipindi hicho angeshajitokeza na kusema..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.
..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.
..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
Na kweli angewamaliza wezi wote na mafisadi ila kwa sasa ni wakati wenu kutamba.
Ni wajinga ndio kwa sababu mnampangia hata cha kusema. Yaani mnataka kuuaminisha umma kuwa ZZK hakuumizwa na utawala wa Jiwe bali nyie CHADEMA tu.