Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 593
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.
..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.
..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
Alipoahirisha safari moto ukazimika. Ok, tuseme uliendelea kuwaka. Angepata taarifa akiwa anatua angerudi pia?. Kutumwa kutenda kosa tena kosa kubwa la jinai kama kuchoma moto nyumba/mali ya mtu nao ni uhalifu. Hao waliomu 'approach' kumuomba radhi anawaangalia tu!.