Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.

..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.

..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.


Alipoahirisha safari moto ukazimika. Ok, tuseme uliendelea kuwaka. Angepata taarifa akiwa anatua angerudi pia?. Kutumwa kutenda kosa tena kosa kubwa la jinai kama kuchoma moto nyumba/mali ya mtu nao ni uhalifu. Hao waliomu 'approach' kumuomba radhi anawaangalia tu!.
 
Alipoahirisha safari moto ukazimika. Ok, tuseme uliendelea kuwaka. Angepata taarifa akiwa anatua angerudi pia?. Kutumwa kutenda kosa tena kosa kubwa la jinai kama kuchoma moto nyumba/mali ya mtu nao ni uhalifu. Hao waliomu 'approach' kumuomba radhi anawaangalia tu!.

..SERIKALI iwashughulikie waliotumwa kuchoma nyumba ya Zitto Kabwe.

..Tusimlaumu Zitto kwani yeye hana vyombo na mamlaka ya kukamata wahalifu na kuwashitaki.
 
Yaani huyu mjinga anadhani wote ni wajinga.Inamaana safari yako ya kwenda Nairobi Magufuli aliijua akaamua kuchoma nyumba yako? Mjinga kweli huyu.

..watu wengi walikuwa wanadukuliwa kipindi hicho.

..umesahau hata appointment ya Lissu kwa daktari wake Ubelgiji baada ya uchaguzi wa 2020 ilikuwa inajulikana?
 
Kinyume kabisa na malengo ya Nabii Njozi wa Burigi pamoja na matamanio ya wa kijani na mavikosi yao, CDM imeweza kupita kwenye tanuri la moto kwa vile iko mioyoni mwa watu, INAAMINIKA. AMEN


Chadema ipo kwa ajili ya kushika dola tu ili wajinufaishe binafsi na wala si kwa ajili ya maslahi ya umma.--- Jinsi Covid 19 walivyosaliti CDM kwa maslahi yao ndivyo Essence ya CDM ilivyo, kwa.maneno mengine Covid 19 wamedhihirisha tabia nzima ya CDM.
 
Eti; "Sisi ndio tumeumizwa sana"--- hii ndio kauli ya kibinafsi ya chadema kama kwamba hakuna watu wengine walioumizwa sana na utawala wa Magu.

Acheni ubinafsi katika kutetea maslahi ya umma.

Una tatizo sio bure. Issue Ni Zitto lakini umekimbia kuleta Mambo ya CHADEMA. Chadema ilikufanya Nini wewe CCM?
 
Ndio maana sipendi chama, CHADEMA tatizo lenu hamtaki mtu apishane fikra na nyie ila nyie mnaona mnakuwa sahihi kupinga fikra za wenzenu hata zikiwa sahihi.

CHADEMA si chama cha kuaminika walikuwa na mengi sana kabla ya uchaguzi 2015, Richmond na Lowassa ndio ilikuwa ajenda yao, lakini cha kushangaa Lowassa wa Richmond ndio akawa mgombea wao. Hii ni hatari sana.

Wewe ndio mnafiki namba moja. Kama hujui siasa nenda kahubiri injili. Chadema walipomuweka Dr Slaa mpinga ufisadi mlimpa urais?. Mliishia kumtukana kuwa ameiba mke wa mtu.

Mlichotaka chadema wafanye nini? Lowassa ndio alikuwa man of the Moment 2015 na akaleta Kura nyingi asilimia 40 na kumfanya Magufuli kuwa mgombea wa urais wa CCM aliyeshinda kwa asilimia chache kuliko wote waliomtangulia.
 
Ndio walewale washamba, hawa ukiwaambia serikali inao mkono mrefu wao wanadhani ni mkono huu wa dhahiri.🤣

..mkono mrefu wa kuchoma nyumba na kuharibu mali za viongozi wa upinzani?
 
Na aliyeichoma na Magu.

Lazima anamlenga Magu.

Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.

Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.

Hii sio sawa.

Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.

Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.

Magufuli alikuwa worst of them. Alitaka kuifanya nchi Mali yake. Hivyo wakamsaidia kuiba Kura ili wamuondoe vizuri.
 
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.

..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.

..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.

Ninavyomjua kama ni kweli chuki alizokuwa nazo lipindi hicho angeshajitokeza na kusema
 
Ni wajinga ndio kwa sababu mnampangia hata cha kusema. Yaani mnataka kuuaminisha umma kuwa ZZK hakuumizwa na utawala wa Jiwe bali nyie CHADEMA tu.

Zitto aliumizwa wapi?. Aache ujinga wake. Akina Lissu, Azory na Saanane wasemeje?.
 
Back
Top Bottom