Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

Hilo halina ubishi,ondoka watu wajadili mabaya yako.
They are specifically targeting Dr. Magufuli.

Na hawa ni wanasiasa waliokosa nafasi ya kufanya siasa zao za kilaghai na kupokea mitonyo kama waliyokuwa wakipewa watu wengine.

Ukienda kwa wananchi wa kawaida hakuna atayekuelewa kuhusiana na hiki kioja wanaita maridhiano maana hakina uhalali wowote na ndio maana hayo washiriki wa hayo maridhiano feki ni wanasiasa.

Awamu hii imeumiza watu pia waliokua na mikopo mabenki kwa kuwanyima fursa za kufanya biashara.

Watu wanaumizwa kwa kodi na tozo na kupanda kwa bei za bidhaa kiholela.

Wamasai wana hamishwa kwenye makazi yao bila huruma.

Hapa tunaoumizwa na awamu hii ni wengi sana kuliko hata hao wanasiasa uchwara.

Tukubali tu kuwa hii nchi imetekwa na wanasiasa na wafanya biashara.

Wananchi wa kawaida hawana mtetezi.

Kakikundi ka watu wachache tu ndio kanatuburuza.
 
Ah ah.. Au sema cdm waache ubinafsi ktk kuteseka au kuteswa.
Eti; "Sisi ndio tumeumizwa sana"--- hii ndio kauli ya kibinafsi ya chadema kama kwamba hakuna watu wengine walioumizwa sana na utawala wa Magu.

Acheni ubinafsi katika kutetea maslahi ya umma.
 
Ndio maana sipendi chama, CHADEMA tatizo lenu hamtaki mtu apishane fikra na nyie ila nyie mnaona mnakuwa sahihi kupinga fikra za wenzenu hata zikiwa sahihi.

CHADEMA si chama cha kuaminika walikuwa na mengi sana kabla ya uchaguzi 2015, Richmond na Lowassa ndio ilikuwa ajenda yao, lakini cha kushangaa Lowassa wa Richmond ndio akawa mgombea wao. Hii ni hatari sana.
CHADEMA haiaminiki, 🤣
 
Na aliyeichoma na Magu.

Lazima anamlenga Magu.

Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.

Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.

Hii sio sawa.

Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.

Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.
Mkuu kwa swala la uhalifu ni kweli, Jiwe kwa sasa muhalifu namba moja. Tushukuru Mungu aisee jamaa angetumaliza
 
They are specifically targeting Dr. Magufuli.

Na hawa ni wanasiasa waliokosa nafasi ya kufanya siasa zao za kilaghai na kupokea mitonyo kama waliyokuwa wakipewa watu wengine.

Ukienda kwa wananchi wa kawaida hakuna atayekuelewa kuhusiana na hiki kioja wanaita maridhiano maana hakina uhalali wowote na ndio maana hayo washiriki wa hayo maridhiano feki ni wanasiasa.

Awamu hii imeumiza watu pia waliokua na mikopo mabenki kwa kuwanyima fursa za kufanya biashara.

Watu wanaumizwa kwa kodi na tozo na kupanda kwa bei za bidhaa kiholela.

Wamasai wana hamishwa kwenye makazi yao bila huruma.

Hapa tunaoumizwa na awamu hii ni wengi sana kuliko hata hao wanasiasa uchwara.

Tukubali tu kuwa hii nchi imetekwa na wanasiasa na wafanya biashara.

Wananchi wa kawaida hawana mtetezi.

Kakikundi ka watu wachache tu ndio kanatuburuza.
Unazungumzia kuhamishwa tu, kuna watu walibomolewa nyumba zao kabisa, ila Mwanza wakaambiwa wasibomolewe kisa walimpigia kura yule muovu.
 
Mkuu kwa swala la uhalifu ni kweli, Jiwe kwa sasa muhalifu namba moja. Tushukuru Mungu aisee jamaa angetumaliza
Na kweli angewamaliza wezi wote na mafisadi ila kwa sasa ni wakati wenu kutamba.
 
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.

..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.

..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.

huo ndo unafiki kwann asiwataje wachukuliwa hatua.
 
Ni wajinga ndio kwa sababu mnampangia hata cha kusema. Yaani mnataka kuuaminisha umma kuwa ZZK hakuumizwa na utawala wa Jiwe bali nyie CHADEMA tu.
Tatizo lake ni unafiki uliopitiliza mkuu, kwanini anasema leo mbona zamani alilamba viatu.
 
Na aliyeichoma na Magu.

Lazima anamlenga Magu.

Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.

Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.

Hii sio sawa.

Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.

Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.
Yaonekana kama vile mmeishaanza kuchoka kujivunia ukatili, udhalimu na ukandamizaji wake? Nadhani mwanga wa ukombozi waanza kuonekana. AMEN.
 
Well said Zitto.

Your brilliance is what makes haters cringe.

Endelea kusimamia siasa za masuala na kuonyesha njia, waache Hao wenye chuki waendeleze chuki zao, wewe songs mbele.
Kuhusu Utawala dhalimu wa Magufuli, yes tunahitaji commission of inquiry ili walioumizwa na Utawala ule waweze kutema nyongo zao, huenda ikawa ponyo Yao ya kisaikolojia
 
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.

..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.

..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.

Yaani huyu mjinga anadhani wote ni wajinga.Inamaana safari yako ya kwenda Nairobi Magufuli aliijua akaamua kuchoma nyumba yako? Mjinga kweli huyu.
 
Mkuu kwa swala la uhalifu ni kweli, Jiwe kwa sasa muhalifu namba moja. Tushukuru Mungu aisee jamaa angetumaliza
Et angewamaliza! Sasa angewamaliza vp humu mitandaoni na wengine mpo nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom