Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
They are specifically targeting Dr. Magufuli.Hilo halina ubishi,ondoka watu wajadili mabaya yako.
Na hawa ni wanasiasa waliokosa nafasi ya kufanya siasa zao za kilaghai na kupokea mitonyo kama waliyokuwa wakipewa watu wengine.
Ukienda kwa wananchi wa kawaida hakuna atayekuelewa kuhusiana na hiki kioja wanaita maridhiano maana hakina uhalali wowote na ndio maana hayo washiriki wa hayo maridhiano feki ni wanasiasa.
Awamu hii imeumiza watu pia waliokua na mikopo mabenki kwa kuwanyima fursa za kufanya biashara.
Watu wanaumizwa kwa kodi na tozo na kupanda kwa bei za bidhaa kiholela.
Wamasai wana hamishwa kwenye makazi yao bila huruma.
Hapa tunaoumizwa na awamu hii ni wengi sana kuliko hata hao wanasiasa uchwara.
Tukubali tu kuwa hii nchi imetekwa na wanasiasa na wafanya biashara.
Wananchi wa kawaida hawana mtetezi.
Kakikundi ka watu wachache tu ndio kanatuburuza.