Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.