Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Udini wa kujifanya anasifia ubovu wa mama SamiaLaana ya kumtukana Magufuli
Zitto ni mtu wa hovyo kama sura yake... kijana mdini na mshirikina sana... ila soon alichopanda kwa wenzie kitamrudia.Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano
Chawi kubwa sana hilo liha ni likijakazi la CCMLaana ya kumtukana Magufuli
HAWEZI KUIKOSOA ATAKULA WAPI MKATE WAKE WA KILA SIKU?Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano
JK alipoona anamsumbua sana na sakata la Buzwagi akatengeneza tume ya rais ya madini. Zitto akatupiwa ndani, mule akakutana na mastriker kama kina mama Mary Okejo aliyehusika na utiaji wa saini kwenye mkataba wa tanesco na NetGroup Solutions.Kipindi cha mwendazake alikatiwa mirija ya asali ndio mana domo lilikua likibwabwaja..sasahivi mirija imekaa sawa ni mwendo wa kulamba asali.
Kumbuka afrika utamaduni wetu hauruhusu kuongea huku unakula.
#MaendeleoHayanaChama