MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Wewe NI Mpumbavu kweli. Hivi unaweza Kupeleka Hizo kalio zako Ujiji Kigoma ukamsema vibaya Zitto harafu ukatoka Salama? Chunga kauli zako.Zito ni Malaya wa kisiasa aliyekomaa. Ni mtu wa kupuzwa kabisa wala asitupotezee mda. Sasa hivi hata akigombea ubunge hawezi kushinda sehemu yoyote. Kaisha kufa kisiasa. Sasa njia yake ya kubaki kusiskika ni kupinga chadema na kujipendekeza kwa raisi ili Chama chake kipewe wabunge wa kuchongwa.
Tangu miaka ya 2000 mnawaita WAHA sio Watanzania Bali ni Warundi,Zitto alipambana peke yake mpaka Waha wakaanza Kupewa heshima Mikoani,Sikuona Mbowe,Mrema Wala Huyo Tundu Lissu akilisemea bungeni. Huko Kigoma sidhani Kama hata huyo Tundu Lissu anajulikana.
Zitto atatenda mabaya mengi tu kwenye Nchi hii lakini Kigoma hawezi kusimangwa hata Chembe. Chunga kauli zako. Zitto anaweza kugombea popote pale kwenye Majimbo ya Kigoma na akashinda. Mlimfukuza CHADEMA kwa Hila Zenu za Kukalia madaraka mkifikili atafifia kisiasa badala yake imekuwa kinyume.