Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Zito ni Malaya wa kisiasa aliyekomaa. Ni mtu wa kupuzwa kabisa wala asitupotezee mda. Sasa hivi hata akigombea ubunge hawezi kushinda sehemu yoyote. Kaisha kufa kisiasa. Sasa njia yake ya kubaki kusiskika ni kupinga chadema na kujipendekeza kwa raisi ili Chama chake kipewe wabunge wa kuchongwa.
Wewe NI Mpumbavu kweli. Hivi unaweza Kupeleka Hizo kalio zako Ujiji Kigoma ukamsema vibaya Zitto harafu ukatoka Salama? Chunga kauli zako.

Tangu miaka ya 2000 mnawaita WAHA sio Watanzania Bali ni Warundi,Zitto alipambana peke yake mpaka Waha wakaanza Kupewa heshima Mikoani,Sikuona Mbowe,Mrema Wala Huyo Tundu Lissu akilisemea bungeni. Huko Kigoma sidhani Kama hata huyo Tundu Lissu anajulikana.

Zitto atatenda mabaya mengi tu kwenye Nchi hii lakini Kigoma hawezi kusimangwa hata Chembe. Chunga kauli zako. Zitto anaweza kugombea popote pale kwenye Majimbo ya Kigoma na akashinda. Mlimfukuza CHADEMA kwa Hila Zenu za Kukalia madaraka mkifikili atafifia kisiasa badala yake imekuwa kinyume.
 
naman chadema walivyomshambulia na maneno waliyoyatoa, nimeamini chadema wana roho mbaya sana. kwasababu wameanza kumtukana marehemu mamake kwanza kwamba na yeye alikuwa kilema. kina boniface wa ubungo n.k wengi, na sijaona tofauti kati ya kile alichokifanya na kile ambacho wao pia wamefanya dhidi ya marehemu mamake. hivi kwanini cdm mnakuwa na mhemko na chuki hivi? ni kwasababu ya kukosa madaraka? zito kaomba radhi lakini hakuna cdm hata mmoja atakayeomba radhi kwa kumtukania marehemu mamake aliyekuwa mlemavu. kwa macho watu wanaonekana wastaarabu lakini wana chuki na roho ngumu kuiliko hata ccm.
Bro,hakika na Mimi naanza kuamini kwamba CHADEMA na Wafuasi wao bado Hawafai Kupewa madaraka ya kuliongoza taifa hili. Mbona wana Chuki kubwa namna hii? Siku wakishika Madaraka watafanya mauaji ya halaiki kwa kila mwana CCM au Mpinzani wao. Kuanzia leo kale ka-Imani ka kuichoka CCM na kutamani Chama Kingine Cha Upinzani kiingie Madarakani kameanza kuisha kabisa. Mtu akiomba radhi lakini anaandamwa? Kura yangu nianze kuichunga Sana,isijekutolewa kwa kufuata mkumbo wa Huruka za Vijana. Yaani mpaka wanafikia hatua ya kuwatukana kabila lote la WAHA eti Ni Wanafiki? Ukiwauliza wataje hao WAHA wanafiki watakwambia ZITTO. Wasijue kwamba,Nchi hii Kuna WAHA zaidi ya Milioni 2.
 
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Mtu mwenye busara hatakiwi kurukia majina ya utani asiyoyaelewa.

Zitto kama kiongozi anatakiwa ajue Kiswahili.

Mbona mimi najua neno chiba?

Kesho akisikia watu wanamuita mtu junya, anaweza kurukia kuita jina hilo bila hata kulijua?
 
Back
Top Bottom