Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

Kwanza kabisa Samia kaenda kama rais, na kaalikwa na Mbowe. Katumia hela za umma kwenye shughuli ambayo ni ya kidini. Ile michango waumini walipewa fomu za kualika wachangiaji.

Kiongozi wa secular state anapofanya siasa kutumia dini analeta matatizo zaidi ya anayotatua. Tayari kuna watu misikitini Zanzibar wiki hii wanamsema vibaya kwa kuwaopendelea Wakristo.

Kama hujui chanzo cha pesa, hilo ni tatizo kubwa. Walipa kodi wengine hatutaki pesa za kodi zitumike kwenye mambo ya dini. Dini si kazi ya serikali.

Mbowe na Samia wote wana lawama, wamevunja misingi muhimu ya Separation of Religion and State. Mbowe kwa kumualika Samia na Samia kwa kukubali. Wanaingiza siasa makanisani.

Mbowe mwenyewe anajijengea mazingira ya kuonekana kapewa rushwa. Kama kanisa kuchangiwa na Samia ni controversial, kwa nini ajiingize kwenye hiyo controversy kwa kumualika Samia? Yani hata ile favor tu kusema Tanzania kuna makanisa maelfu yanahitaji michango, Samia kaenda la Mbowe, ni scandal tayari. Political favoritism.

Kwa nini hatuoni hili?

Hebu msikilize JFK alivyokuwa anagombea urais Marekani akizungumzia suala la Swparationnif Rwligion and State halafu uangakie sisi tunavyochukulia poa mambo haya.


View: https://youtu.be/LAvHHTt2czU?si=9XltUA-Gw8NgutUI
 
Mbona kama vile Zitto anawashughulisha sn!?
You mean Zitto ndo kasababisha CDM isishike dola!?
 
Kama mnategeme chadema ya Mbowe kuwaletea ukombozi Watanganyika basi kuna watu wana ndogo sana,Mbowe huyu aliyesaliti upinzani kwa kubadili gia angani,kumleta Lowasaa na kuvuruga misingi yote ya chama ndio mnamwita mkombozi?Mbowe sio Mwanasiasa bali ni mjasiriasiasa Yeye anaangalia furusa, Sasahivi yuko analamba miguu ya Samia hamwone uruma iliamwachie kiti cha ubunge hapo Hai.

Mbowe hanatofauti na mwanamke kahaba, mwanamke kahaba hata mtu lasimi ila anayekuja na pesa mkononi anapanuliwa mapaja, ndivyo ilivyo chadema ya Mbowe.Chadema Sasahivi akina itikadi,uwezi jua wanatetea nini au wanapinga kipi wapo wapo tu.wanasubiria CCM wanyukane watakao temwa ndio wawe wagombea wa chadema,halafu hapo utegemee ukombozi.Wadanganyeni wajinga tu.
 
Niliyasema haya kitambo tangu siku ya kwanza ametoka cdm kuwa maisha ya zitto kisiasa hayatakuwa na mafanikio.
 
Mbowe anashutumiwa kwa kuhodhi madaraka na kutostaafu, anatakiwa astaafu.

Zitto anashutumiwa kwa kustaafu.

Lawama haziishi. Ukistaafu, usipostaafu, lawama tu.
Kula mihogo yako ukajilalie
 
Kama amefeli ebu niambie leo hii Chadema Ina wabunge wangapi?
Cdm imesimama pekee yake pamoja na wananchama wake watiifu.

Act imekubali kununuliwa na ccm zanzibar inatumika kama daraja
 
Niliyasema haya kitambo tangu siku ya kwanza ametoka cdm kuwa maisha ya zitto kisiasa hayatakuwa na mafanikio.
Lakini hata maisha ya kisiasa ya Mbowe hayana mafanikio.
Kaishia kujenga chama ambacho members wake waoga wa polisi kwelikweli!
Naye kaishia ubunge kama Zitto!
 
Watu wamemgeuza Zitto punching bag ya kuvent frustrations zao!. Pambaneni na watoa taarifa kwenye vyama vyenu!

Hao akina Mbowe a.k.a mwenyekiti wa maisha wametufikisha wapi?
Zitto ni zaidi ya msaliti na sasa ndiyo muanguko wake umetimia
 
Ina hitaji akili kubwa kiasi gani kujua kuwa Mbowe tayari kafichwa kwenye mfuko wa Mama Kizimkazi?

Acheni kusindikiza watu kwenye safari za maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…