Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

Anyway if that is how you see it, I am ok with that, But I was trying to answer/reply your message.
Hivi vitu ni ni upendavyo kila mtu ana mtizamo na maoni yake. Labda yangu hukuyapenda ni mawazo yangu, ni ni kweli sioni tatizo kabisa.
Suala la wewe kufanya logical fallacies za argument from tradition si suala la mtazamo wangu tu.

Ukitaka naweza kuchambua hizo fallacies moja baada ya nyingine.

Ni suala na ukweli unaoweza kuchambuliwa logically.

Kwa hiyo usitake kufanya hilo kuwa ni "mtazamo wangu tu".

Lakini labda ndiyo Watanzania wengi mnavyofikiri na mlivyoamua kukumbatia hizo logical fallacies za argument from tradition, argument from authority, na ujinga mwingine kama huo.

Na ndiyo maana hatupigi maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Hatuko serious. Badala ya kukemea ujinga, tunaukubali, tunau rationalize, tuna u explain.

A million flies eat shit. They can't be wrong.
 
Well uamuzi ni wako kuoan uonavyo, ukitaka kuchambua pia uhuru unao ni uamuzi wako. Nilieleza nionavyo siyo kwamaba kwa kueleza hivyo nakubaliana na huo uovu, ila ndivyo ilivyo.

Sasa mimi ni nani hadi niwakemee hao wafanyao hayo, Sina mamlaka wala vyombo vya kuzuia hayo. Nachangia tu kwa jinsi ilivyo.

Mimi ni miongoni mwa watanzania tunao changia tu, na hizo logical fallacies nakubali kwa sababu i had no idea what , and how you wanted me to put my reply to you.

Tumejadili vitu vingi kwa mkupuo labda tulitok akwenye hoja na kuongelea makadokando mengine tukatoka kwenye hoja, au sikujibu ulivyotaka yote sawa kwangu, nilijaribu kwa kiasi changu.
 
Argument from tradition = logical fallacy.

Plus a lot of irrelevant excuses that are frankly very boring.
 
Back
Top Bottom